Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

Very big investment, fikiria kila nchi ipeleke fungu huko makao makuu, hawa jamaa wanahela bana acheni utani
 
Haya mambo yanaumiza, sitaki niandike sana ila haya makanisa ukireason sana utaishia kusalia nyumbani tu.
Kanisani nitaenda ila msimamo wangu kuhusu michango hautoyumba, principle ni moja tu, kutoa kadri ya uwezo wangu na nilivyoguswa na si vinginevyo.
Wakinifuata viongozi nitawajibu live bila chenga, tatizo nasi wabongo waoga sana.
 
Kapu la mama wa redio maria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amazing
 
Watu wenye mitazamo chanya kama wewe wapo, sema wanakosa support tuu,
 
Nguruwe bado unakula? Au nayo umeacha!
Unachanganya mafile, halafu mimi sitaki kumkashifu mtu ila ujuwe mwezi wa Ramadhani wafanyabiashara wa kiti moto, bar na guest house wanalalamika biashara ni ngumu, sijafanya research ni kwa nini kila kipindi cha Ramadhani biashara hizo zinakuwa tete.
 
Hakuna dhehebu la kipuuzi kikatili kama enzi za ukoloni kama katoliki
 
Duuhh, hii noma sana!!
 
Hiyo ni milk cow, hakuna la zaidi
 
Nimejaribu kuelezea vizuri kwenye post za nyuma, hatuna tatizo la kuchangia maendeleo ya kanisa lakini siyo kwa kukamuana huku, huu unaofanyika kwa sasa ni uharamia na maaskofu kelele zetu wazisikie otherwise mkombozi wetu atatokea tu, hii dunia haijawahi kukosa mtu wa kuwaokowa watu dhidi ya wanyonyaji.
 

Wewe sio mkristo..wewe ni mamluki..mambo ya wakristo waachiwe wao..wewe yanakuhusu nini..umekuja kuleta chuki na utengano..kitu ambacho kamwe huwezi fanikiwa.

Bwana Yesu asifiwe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…