NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Zac poonen anasema!
Hata fungu la kumi halikuwa agizo la Mungu baba KWETU bali ni ahadi ya Ibrahimu Baada ya kuteua nyara akimuokoa nduguye Lutu!hivyo halikuwa agizo la Mungu kutoa fungu la kumi!!!
Hata yakobo aliahidi Mwenyewe Baada ya kutoroka nyumbani akiwa hajui aendako Hivyo halikuwa agizo la Mungu!
Hata malaki anapodai zaka ni KWA wale wa israel ambao ilikuwa DESTURI ya kutimiza ahadi za Baba yao AMBAYO aliiweka KWA Mungu enzi ZILE!!!
Je mambo ya sadaka nyingi makanisani yalitokea wapi!!?
Zac poonen anasema!!!
Kwamba hapo mwanzo wakati uamsho unaanza hayakuwepo bali ni Baada ya watumishi wa Mungu walipotaka kuishi Maisha ya anasa na ya kifahari kama wasanii wa nyimbo za kidunia ndipo walipoanza kuhubiri fungu la kumi na sadaka nyingi na wakaanza kununua magari na majumba na kujionyesha ufahari na mahubiri ya UTAJIRI yakashamiri Sana Duniani kana kwamba umaskini KWA mkristo ni dhambi!!!!
Anasema kumtolea Mungu ni KWA hiari pasipo presha wala sheria na kushinikizwa kama ifanyikavyo leo!!!
Pia tunapaswa kumtolea Mungu KWA kuwapa maskini na wasiojiweza na pia WATUMISHI wa Mungu wawe na KAZI za mikono za kufanya kama paulo mshonaji na petro mwamba ngozi na yesu seremala na sio kuishi KWA sadaka ambapo humshinikiza mkristo atoe Ili ale!!!
Naishia Hapa!!