Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Labda nasubiri kesho Mungu akijaliaItakua transfoma
😀😁😄😄😃😃wapi huko? Ile mzinga ya lupaso ndiyo inatua chini
Dar es salamWapi huko
HahahaNimesikia kama bomu vile linalipuka puuuuuu
nmecheka sanaNkapa kapokelewa huko ahera!
Vijana mna maneno sana.Nkapa kapokelewa huko ahera!
Shukrani mzee Maana mimi niko Dar es Salaam kuna mtu kasema Ni kiwanda cha Nondo huko Viwandani maeneo ya Vingunguti kimewaka Moto ila sina hakikaHata Mimi nimesikia hapa kwasemangube korogwe tanga