Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Habari za jioni wakuu, huku mtaani kwetu kuna kishindo kikubwa kimesikika kiasi wananchi kupata TAHARUKI na kutoka nje. Kuna watu wamesema wameona moto juu kama kimondo kimedondoka na wengine wanasema ni Tetemeko la Ardhi.
Je kwenu mmelisikia? Ilikuwa kama saa 21:50 hivi.
Je kwenu mmelisikia? Ilikuwa kama saa 21:50 hivi.