Tetesi: Kuna kitu kama Kimondo kimesikika kina sauti ya kutisha

Tetesi: Kuna kitu kama Kimondo kimesikika kina sauti ya kutisha

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Habari za jioni wakuu, huku mtaani kwetu kuna kishindo kikubwa kimesikika kiasi wananchi kupata TAHARUKI na kutoka nje. Kuna watu wamesema wameona moto juu kama kimondo kimedondoka na wengine wanasema ni Tetemeko la Ardhi.

Je kwenu mmelisikia? Ilikuwa kama saa 21:50 hivi.
 
Hata mimi nimesikia. Lakini sijajisumbua kuangalia ni nini.
 
Hata Mimi nimesikia hapa kwasemangube korogwe tanga
 
Back
Top Bottom