Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

MIMI SIYO MCHAWI WALA MALAIKA ILA KAMA SAMIA ATAKUWA RAIS 2025 TANZANIA ITAINGIA KWENYE GIZA ZITO AMBALO TOKA NCHI YETU KUWEPO ALIJAWAI KUTOKEA ..na hilo giza litasababisha hasara kubwa sana na funzo kubwa sana ndani ya nchi yetu. Hiyo hasara ndani yake kutakuwa na damu za wanadamu wa kutosha.
 
Hawa ndiyo Watanzania tulionao. Kama umeandika kama kada wa chama Sina Shida na wewe. Ila kama umeandika kama mtanzania msomi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa big shame on you. We are democratic and no body is officially sworn in yet after 2025 race. How do you dare to say that someone from hell is elected ready? Be impartial plz. Civil votes will count on 2025.
 
Mimi ni mfuasi wa falsafa ya Mfaransa Rene Descartes. Alikuwa mwanafalsafa na mwanasayansi. Alikuwa na njia aliyoiita 'methodical doubt' - kwamba ili asije kudanganywa, kudanganyika au kukosea katika kufikiri kwamba jambo fulani litatokea hivyo linavyotazamiwa au la, aliona kwamba akiwa na mashaka na jambo lolote hadi litakapojidhihirisha lenyewe, ni njia sahihi itayomsaidia asifanye makosa ya kuamini jambo ambalo siyo. Hivyo, he doubted everything until there was verification/confirmation. Sasa na mimi natilia mashaka anything, until uchaguzi utakapofanyika na mshindi kutokea. Ni nani? Sijui. Atapatikana siku hiyo na anaweza kuwa yeyote yule - Samia, Lissu au any person else atakayekuwa.
 
Kuambiana kupo kusikilizana ndio shida!
 
Nadhani ili tuokoe fedha, muda na mambo mengine ccm wamuapishe tuu SSH 2025. Uchaguzi tuje tufanye 2030 maana kwa upinzani huu wa akina mbowe wanakula blank cheque za babu dully haina haja hata ya kupoteza muda.
Mitano tena kwa mama
Zima zote pandisha kijani
 
Acha inyeshe tuone wapi panavuja , cha msingi tukutane 2025 kama uchaguzi ukifanyika , mzee Paskali usiku mwema

Note
Uchaguzi ukifanyika hakuna rangi hawataiona , wote wanaofikiri biashara huwa ipo na faida kila siku bila kujali ni mzoefu kiasi gani ,Kuna watu hawataamini yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…