Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly kuonyesha maandalizi ya kurejea Kizimkazi ni 2028/2029.

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli.

Soma Pia: Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke

Soma Pia: Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimawasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu katika bandiko la sauti HII

Inaonyesha Rais Samia amehakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari yupo, tunaye, ameisha chaguliwa, hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi wa rais, Wabunge na Madiwani ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais wetu wa 2025 tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua bali kumthibisha tuu.

Tena nomewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, maana jojoba dume la shoka kushindwa na mwanamke itakuwa ni aibu sana!.

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
MIMI SIYO MCHAWI WALA MALAIKA ILA KAMA SAMIA ATAKUWA RAIS 2025 TANZANIA ITAINGIA KWENYE GIZA ZITO AMBALO TOKA NCHI YETU KUWEPO ALIJAWAI KUTOKEA ..na hilo giza litasababisha hasara kubwa sana na funzo kubwa sana ndani ya nchi yetu. Hiyo hasara ndani yake kutakuwa na damu za wanadamu wa kutosha.
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly kuonyesha maandalizi ya kurejea Kizimkazi ni 2028/2029.

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli.

Soma Pia: Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke

Soma Pia: Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimawasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu katika bandiko la sauti HII

Inaonyesha Rais Samia amehakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari yupo, tunaye, ameisha chaguliwa, hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi wa rais, Wabunge na Madiwani ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais wetu wa 2025 tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua bali kumthibisha tuu.

Tena nimewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, maana jojoba dume la shoka kushindwa na mwanamke itakuwa ni aibu sana!.

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Hawa ndiyo Watanzania tulionao. Kama umeandika kama kada wa chama Sina Shida na wewe. Ila kama umeandika kama mtanzania msomi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa big shame on you. We are democratic and no body is officially sworn in yet after 2025 race. How do you dare to say that someone from hell is elected ready? Be impartial plz. Civil votes will count on 2025.
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi.

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli.

Soma Pia: Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke

Soma Pia: Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimawasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu katika bandiko la sauti HII

Inaonyesha Rais Samia amehakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari yupo, tunaye, ameisha chaguliwa, hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi wa rais, Wabunge na Madiwani ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais wetu wa 2025 tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua bali kumthibisha tuu.

Tena nomewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, maana jojoba dume la shoka kushindwa na mwanamke itakuwa ni aibu sana!.

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Mimi ni mfuasi wa falsafa ya Mfaransa Rene Descartes. Alikuwa mwanafalsafa na mwanasayansi. Alikuwa na njia aliyoiita 'methodical doubt' - kwamba ili asije kudanganywa, kudanganyika au kukosea katika kufikiri kwamba jambo fulani litatokea hivyo linavyotazamiwa au la, aliona kwamba akiwa na mashaka na jambo lolote hadi litakapojidhihirisha lenyewe, ni njia sahihi itayomsaidia asifanye makosa ya kuamini jambo ambalo siyo. Hivyo, he doubted everything until there was verification/confirmation. Sasa na mimi natilia mashaka anything, until uchaguzi utakapofanyika na mshindi kutokea. Ni nani? Sijui. Atapatikana siku hiyo na anaweza kuwa yeyote yule - Samia, Lissu au any person else atakayekuwa.
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, ambao hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimewasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu katika bandiko la sauti HII

Kauli hiyo inaonyesha Rais Samia tayari ameisha hakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 rais ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari tunaye, yupo na ameisha chaguliwa, (amechaguliwa na nani?), hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT kwa uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua rais bali kutimiza tuu takwa la kikatiba la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano hata kama uchaguzi huo sio uchaguzi, bali ni igizo tuu la uchaguzi kumthibisha tuu rais aliyepo!. Swali kama hili pia nililiuliza kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Tena nimewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, wanawake ndio wapambane, maana jibaba dume la shoka kushindwa na mwanamke, si ni itakuwa ni aibu sana?. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Kuambiana kupo kusikilizana ndio shida!
 
Nadhani ili tuokoe fedha, muda na mambo mengine ccm wamuapishe tuu SSH 2025. Uchaguzi tuje tufanye 2030 maana kwa upinzani huu wa akina mbowe wanakula blank cheque za babu dully haina haja hata ya kupoteza muda.
Mitano tena kwa mama
Zima zote pandisha kijani
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, ambao hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimewasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu katika bandiko la sauti HII

Kauli hiyo inaonyesha Rais Samia tayari ameisha hakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 rais ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari tunaye, yupo na ameisha chaguliwa, (amechaguliwa na nani?), hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT kwa uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua rais bali kutimiza tuu takwa la kikatiba la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano hata kama uchaguzi huo sio uchaguzi, bali ni igizo tuu la uchaguzi kumthibisha tuu rais aliyepo!. Swali kama hili pia nililiuliza kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Tena nimewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, wanawake ndio wapambane, maana jibaba dume la shoka kushindwa na mwanamke, si ni itakuwa ni aibu sana?. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Acha inyeshe tuone wapi panavuja , cha msingi tukutane 2025 kama uchaguzi ukifanyika , mzee Paskali usiku mwema

Note
Uchaguzi ukifanyika hakuna rangi hawataiona , wote wanaofikiri biashara huwa ipo na faida kila siku bila kujali ni mzoefu kiasi gani ,Kuna watu hawataamini yani
 
Back
Top Bottom