Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
 
Vita haina macho mkuu, unaweza kuiita Rwanda kamkoa halafu wakatulambisha mchanga.

Vita ina strategy nyingi sana kuliko tunavyojaribu kufikiri, Vita sasa hivi ni technolojia na walio nyuma yako kukusupport.

Tanzania tunapaswa kuwa makini sana na haya mawazo ya Vita Vita na kama kuna ulazima basi iwe ni option ya mwisho.
Mabeberu wanatutamani sana ili watudestabilize tuwe kama DRC wajichotee mali kirahisi sana kwa kutumia vibaraka wao ambazo wengine ni jirani zetu na wengine tuko nao humu humu tunaishi nao.

Tunahitaji kuwaza Kwa akili nyingi sana na kuwekeza sana kwenye intelejensia ili tujilinde kutoingia vitani na yeyote yule, kifupi tuwe na ujasusi hatari wa kimafia wenye uwezo wa kumfikia yeyote yule popote alipo ila Tu tukishajiridhisha ana nia mbaya na Taifa letu.
 
Ushauri mzuri ila umechelewa, ulikuwa unamfaa jiwe.
 
Msumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
 
Uneanza vizuri ila umeharibu ulipoingiza suala la DP WORLD. Pengine huijui vizuri DP WORLD.

Mengine naungana nawe. Ila nakuthibitishia kuwa TPDF ni moja kati ya well drilled and disciplined armies in Africa. Hilo analijua yeye Kagame pamoja na Baba yao Museveni.

Wote wamelelewa Tanzania na mafanikio yao wameyapatia kutoka Tamzania.

Paul Kagame kama amechoka kutawala Uganda basi aseme FYUU dhidi ya TPDF. Tutamshughulikia kama tuluvyomgagia Iddi Amini. Yaani tutamtoa Rwanda akawe naye mkimbizi nchi nyingine.
 
Msumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
Ni trojan horse wa west,kaenda Linda maslahi yao,tz ilikataa Kama ilivyokataa kwenda somalia
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Sio kweli unachoongea congo au zaire kipindi cha mobutu ilikua haina vita wala vikundi vya waasi ilikua ni nchi ya amani japokua mobutu alikua dikteta

Congo vita vimeanza baada ya watutsi kukimbizwa congo na wahutu kutoka rwanda na harakati za kumtoa mobutu kwa nguvu zilizokua zinafanywa na kabila mwishoni wa miaka ya 90
 
Hii hoja inawahusu watanzania,kwa wewe ambaye kwa maelezo yako unaonekana sio mtanzania,haikuhusu,usalama wa Tanzania,ni kwa ajiri ya watanzania.
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Ni kweli lumumba hakuu wawa na Rwanda,lkn mfadhiri wa Rwanda kwenye vita ya congo,ndie aliyemuu lumumba,na ndie leo anafadhiri vita congo.
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Kuna watu niliwaambia Case ya Congo msingi wake ni kama ule wa Middle East hawakunielewa.
 
Watutsi wamechanua sana Tz, mfano ni Hawa Akina mapacha wa bukombe, njoo geita yupo mshua wa blue ocean.. Blue ocean mwenye hisa kubwa yupo kugali state house... Ni ndugu wa mapacha. Imagin state house Kigali then state house magogoni.. what next.. MBONA TUTANYOOKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…