Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Ila Jwtz wako poa sana ila wasijiamini sana pia wawe makini zaidi ili huyo mpuuzi akitaka tu kutugusa apelekewe moto yaaan hako ka mkoa kake tunakafinya na huyo pk labda atoroke kwa kuvaa nguo za kike maana ndo itakua option pekee.Mpuuzi yule anatamba sana na ka mkoa kake anajiona mbabeeee ila kimoyo moyo anaujua mziki wa Jwtz hata mm nitajiunga siku hiyo km mgambo wa kujitolea kwenda kuwafyonza hao wapuuuzi na asirogwe kabisa kuwaza hata kufikiri kutusumbua tz tutampiga chepe huku parapanda ikiimbwa .
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
 
Ila Jwtz wako poa sana ila wasijiamini sana pia wawe makini zaidi ili huyo mpuuzi akitaka tu kutugusa apelekewe moto yaaan hako ka mkoa kake tunakafinya na huyo pk labda atoroke kwa kuvaa nguo za kike maana ndo itakua option pekee.Mpuuzi yule anatamba sana na ka mkoa kake anajiona mbabeeee ila kimoyo moyo anaujua mziki wa Jwtz hata mm nitajiunga siku hiyo km mgambo wa kujitolea kwenda kuwafyonza hao wapuuuzi na asirogwe kabisa kuwaza hata kufikiri kutusumbua tz tutampiga chepe huku parapanda ikiimbwa .

Vita haina macho mkuu, unaweza kuiita Rwanda kamkoa halafu wakatulambisha mchanga.

Vita ina strategy nyingi sana kuliko tunavyojaribu kufikiri, Vita sasa hivi ni technolojia na walio nyuma yako kukusupport.

Tanzania tunapaswa kuwa makini sana na haya mawazo ya Vita Vita na kama kuna ulazima basi iwe ni option ya mwisho.
Mabeberu wanatutamani sana ili watudestabilize tuwe kama DRC wajichotee mali kirahisi sana kwa kutumia vibaraka wao ambazo wengine ni jirani zetu na wengine tuko nao humu humu tunaishi nao.

Tunahitaji kuwaza Kwa akili nyingi sana na kuwekeza sana kwenye intelejensia ili tujilinde kutoingia vitani na yeyote yule, kifupi tuwe na ujasusi hatari wa kimafia wenye uwezo wa kumfikia yeyote yule popote alipo ila Tu tukishajiridhisha ana nia mbaya na Taifa letu.
 
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Ushauri mzuri ila umechelewa, ulikuwa unamfaa jiwe.
 
Msumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
 
Uneanza vizuri ila umeharibu ulipoingiza suala la DP WORLD. Pengine huijui vizuri DP WORLD.

Mengine naungana nawe. Ila nakuthibitishia kuwa TPDF ni moja kati ya well drilled and disciplined armies in Africa. Hilo analijua yeye Kagame pamoja na Baba yao Museveni.

Wote wamelelewa Tanzania na mafanikio yao wameyapatia kutoka Tamzania.

Paul Kagame kama amechoka kutawala Uganda basi aseme FYUU dhidi ya TPDF. Tutamshughulikia kama tuluvyomgagia Iddi Amini. Yaani tutamtoa Rwanda akawe naye mkimbizi nchi nyingine.
 
Msumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
Ni trojan horse wa west,kaenda Linda maslahi yao,tz ilikataa Kama ilivyokataa kwenda somalia
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Sio kweli unachoongea congo au zaire kipindi cha mobutu ilikua haina vita wala vikundi vya waasi ilikua ni nchi ya amani japokua mobutu alikua dikteta

Congo vita vimeanza baada ya watutsi kukimbizwa congo na wahutu kutoka rwanda na harakati za kumtoa mobutu kwa nguvu zilizokua zinafanywa na kabila mwishoni wa miaka ya 90
 
Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.

Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Hii hoja inawahusu watanzania,kwa wewe ambaye kwa maelezo yako unaonekana sio mtanzania,haikuhusu,usalama wa Tanzania,ni kwa ajiri ya watanzania.
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Ni kweli lumumba hakuu wawa na Rwanda,lkn mfadhiri wa Rwanda kwenye vita ya congo,ndie aliyemuu lumumba,na ndie leo anafadhiri vita congo.
 
Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Kuna watu niliwaambia Case ya Congo msingi wake ni kama ule wa Middle East hawakunielewa.
 
Watutsi wamechanua sana Tz, mfano ni Hawa Akina mapacha wa bukombe, njoo geita yupo mshua wa blue ocean.. Blue ocean mwenye hisa kubwa yupo kugali state house... Ni ndugu wa mapacha. Imagin state house Kigali then state house magogoni.. what next.. MBONA TUTANYOOKA
 
Back
Top Bottom