BEFORE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 372
- 598
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.Ila Jwtz wako poa sana ila wasijiamini sana pia wawe makini zaidi ili huyo mpuuzi akitaka tu kutugusa apelekewe moto yaaan hako ka mkoa kake tunakafinya na huyo pk labda atoroke kwa kuvaa nguo za kike maana ndo itakua option pekee.Mpuuzi yule anatamba sana na ka mkoa kake anajiona mbabeeee ila kimoyo moyo anaujua mziki wa Jwtz hata mm nitajiunga siku hiyo km mgambo wa kujitolea kwenda kuwafyonza hao wapuuuzi na asirogwe kabisa kuwaza hata kufikiri kutusumbua tz tutampiga chepe huku parapanda ikiimbwa .
B4