Kweli kabisa. Kagame alipewa mission na bwana zake kumpooza jpm sera zake jpm akamtolea nje hapo mahusiano ya karibu yakakatika.JPM alimpenda sana Kagame lakini alipomshtukia aliachana nae jumla.
Hakika hawa ndio CDF aliwasema. Bahati mbaya wamejaa. Ni negative force kwani kitu sahihi kwao ni kile kimesemwa na mtu wao tu.Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lake
Maana una itetea sana Rwanda kuliko Tanzania, nyuzi zote za Kagame uko mbele kuitetea , wewe utakuwa ni wale waliosemwa na CDF
Apa mwatuchanganya wasomajiRais Bora, kafanya makubwa kiuchumi,Rwanda imeendelea,nchi Kama wilaya ya sikonge na bado hakuna lami!!?..hayo maendeleo,ubora wa uongozi uko wapi!?
Si ndoto, ni HALISI.Mwaka wa 3 naota ndoto inajirudia eti Rwanda kumetokea Mapinduzi PK anatoroka kwa boda boda anadakwa vichochoroni
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Nimekupa Source yangu unakataa nini?Ahahaha siyo kweli
Huwa unaangalia Al Jazeera Arabic!?Nimekupa Source yangu unakataa nini?
Kipindi hichi cha Vita, na kwasisi Waswahili Kiarabu tunaelewa kwa mbaali...Huwa unaangalia Al Jazeera Arabic!?
Wewe ni Mnyarwanda?Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Pole sana chief..u sound soo bitter..Ni mtu unayejichukia sana it seems
King'amuzi gani!?Kipindi hichi cha Vita, na kwasisi Waswahili Kiarabu tunaelewa kwa mbaali...
Akili kubwa upumbavu tu, angekuwa na akili kubwa angeunganisha taifa lakeAkili kubwa ndo siraha ya kagame, siyo li nchi likubwa na jeshi kubwa kama la kwetu wala sio madini mengi kama ya Congo.
Akili kubwa na kujitambua na kua na nia ya kutimiza ndoto zake ndivyo vitu hatari zaidi.
Kubwegebwege na propaganda za kisengesenge zilizowajaa Viongozi wengi wa Africa ataendelea kuwapiga Mabao tu.
Naongea facts.
Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.
Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.
Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.
Ninatumia Dishi napata ArabSat.King'amuzi gani!?
Naongea facts.
Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.
Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.
Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.
Hizo bandari tumeporwa vipi wakati Rais akiwa na akili timamu kazigawa bure?!Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
View attachment 2897094
Haya tuambie kat ya chai, kahawa na dhahabu nini kinapiganiwa duniani!!
View attachment 2897102
If you think TZ is a top gold-producing country you must be delusional.
Nchi zote hizo zinazalisha gold na they're not as delusional kama wabongo. Wabongo mnaamini TZ tu ndo ina gold na rasilimali zote, mnaamini kila mtu anaitamani bongo kumbe watu hawaijui kabisa.
Imagine Ghana, SA au Nigeria ambao ni top producers wa karibu kila kitu from gold, oil, gas to entertainment wangekua delusional and conservative kama wabongo wangekua wapi? Ndo kwanza wanakaribisha wageni, wanatoka nje ya nchi zao na wana uraia pacha. Nenda bongo sasa ni ujinga ujinga tu from a common Joe to the top sherrif. Mawazo mgando wote "kila mtu anatuonea wivu fyoko fyoko fyoko."