Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lake

Maana una itetea sana Rwanda kuliko Tanzania, nyuzi zote za Kagame uko mbele kuitetea , wewe utakuwa ni wale waliosemwa na CDF
Hakika hawa ndio CDF aliwasema. Bahati mbaya wamejaa. Ni negative force kwani kitu sahihi kwao ni kile kimesemwa na mtu wao tu.
Washindwe na kusambaratika.
 
Akili kubwa ndo siraha ya kagame, siyo li nchi likubwa na jeshi kubwa kama la kwetu wala sio madini mengi kama ya Congo.
Akili kubwa na kujitambua na kua na nia ya kutimiza ndoto zake ndivyo vitu hatari zaidi.

Kubwegebwege na propaganda za kisengesenge zilizowajaa Viongozi wengi wa Africa ataendelea kuwapiga Mabao tu.
 
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.

Kagame anapewa picha ambayo siyo halisi. Nami binafsi naisikitikia sana Rwanda. Maana bado sijaona tofauti kati ya Kagame na Rwanda 🇷🇼. Inaonekana nchi hiyo inaenda na kupiga hatua mpaka hapo ilipo kwa sababu ya Kagame. Ni nzuri kwa sasa, lakini in long run is not plausible. Kwa sababu watu wanakuja nabkupita lakini nchi inasimama palepale. Kinachotakiwa ni kuweka mising ambayo rais akija rais akitoka bado nchi itaendela kuwa moja na imara. Rain ajielekeze kwa yale yanayowaleta watu pamoja. Na si kuwagawa. Kwa hilo, namsifia sana baba wa taifa langu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Wewe ni Mnyarwanda?

Kiherehere tu kwa mambo yasiyo kuhisu😀
 
Pole sana chief..u sound soo bitter..Ni mtu unayejichukia sana it seems

Naongea facts.

Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.

Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.

Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.
 
Akili kubwa ndo siraha ya kagame, siyo li nchi likubwa na jeshi kubwa kama la kwetu wala sio madini mengi kama ya Congo.
Akili kubwa na kujitambua na kua na nia ya kutimiza ndoto zake ndivyo vitu hatari zaidi.

Kubwegebwege na propaganda za kisengesenge zilizowajaa Viongozi wengi wa Africa ataendelea kuwapiga Mabao tu.
Akili kubwa upumbavu tu, angekuwa na akili kubwa angeunganisha taifa lake
ni suala la mda tu wahutu hawatakuwa wanyonge daima huku ndio majority
 
Naongea facts.

Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.

Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.

Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.

Hukijui unachosema !!
siku nyingine ukiongea kwa watu ongea kwa takwimu inafanya maneno yako yawe na maana!!
 
Naongea facts.

Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.

Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.

Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.

IMG_5356.jpg

Haya tuambie kat ya chai, kahawa na dhahabu nini kinapiganiwa duniani!!
 
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Hizo bandari tumeporwa vipi wakati Rais akiwa na akili timamu kazigawa bure?!
 
View attachment 2897094
Haya tuambie kat ya chai, kahawa na dhahabu nini kinapiganiwa duniani!!

Capture.PNG

If you think TZ is a top gold-producing country you must be delusional.

Nchi zote hizo zinazalisha gold na they're not as delusional kama wabongo. Wabongo mnaamini TZ tu ndo ina gold na rasilimali zote, mnaamini kila mtu anaitamani bongo kumbe watu hawaijui kabisa.

Imagine Ghana, SA au Nigeria ambao ni top producers wa karibu kila kitu from gold, oil, gas to entertainment wangekua delusional and conservative kama wabongo wangekua wapi? Ndo kwanza wanakaribisha wageni, wanatoka nje ya nchi zao na wana uraia pacha. Nenda bongo sasa ni ujinga ujinga tu from a common Joe to the top sherrif. Mawazo mgando wote "kila mtu anatuonea wivu fyoko fyoko fyoko."
 
View attachment 2897102

Mkuu tanzania iko ukanda gan labda??

Nani amesema tz ndo kilele cha natural resources Africa?
Tz inajilinganisha na nchi jiran za Great lake region.
Ukiitoa Kongo Tz is next kwa natural resources katika nchi za maziwa makuu…..
 
Back
Top Bottom