Gazeti pendwa - News of Rwanda, sasa limeamua kutumia fitna. Mbinu za kizamani sana hizi.
Ukisoma kwa makini utagundua jinsi gani wahutu wanachukiwa na utawala wa sasa.
Swali moja kubwa ambalo Paulo na gazeti lake hawaonekani kujibu ni hili; majeshi yamepelekwa DRC kupambana na waasi ndani ya DRC kwanini Rwanda ya Kagame inaudhika?
Tanzania imechoka kupokea wamama wakiwa na watoto migongoni. Kama Rwanda haitaki kuungana na Tanzania kuzuia ubakaji, mauaji, na mapogano DRC kwanini wasikae kimya kama wana EAC wengine?