Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda kulinda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Kaaa mkao wa kula wasouz wamechukia sana kauli ya kagame silaha silizotoka huku souz kwenda congo si mchezo naoma mwisho wa kagame umefika na M23 msouz haongei sana anajibu soon hao jamaa wwtalia kilio kibaya sana
 
Mimi ndo ningekuwa Rais wa South Afrika, ningeshafanya maamuzi kitambo sana. Haiwezekani wanajeshi wangu zaidi ya 13 wafe, halafu nijibiwe shit!
 
Mkuu mambo ya usalama hayako ivo. unadili na maisha maslahi na hatima ya mamilioni ya watu wake kwa waume wakubwa na wadogo.

Je umewaji kusikia madhara ya vita ya Iddi Amin [vita ya 1978] yapo hata leo hii zaidi ya miaka 40?

Je umewaji kusikia madhara ya vita ya kwanza ya dunia [vita ya 1914] yapo hata leo hii zaidi ya miaka 100?
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda kulinda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Huu sasa ni ushoga, unabana pua na kuleta uwoga hapa.., nenda kambandikie mumeo maji aoge..
 
Mwambie aseme suu
 
Mkuu mambo ya usalama hayako ivo. unadili na maisha maslahi na hatima ya mamilioni ya watu wake kwa waume wakubwa na wadogo.

Je umewaji kusikia madhara ya vita ya Iddi Amin [vita ya 1978] yapo hata leo hii zaidi ya miaka 40?

Je umewaji kusikia madhara ya vita ya kwanza ya dunia [vita ya 1914] yapo hata leo hii zaidi ya miaka 100?
Uko sahihi Mkuu.
Ni kweli vita ina madhara mengi ambayo huendelea kwa muda mrefu.
So, kuingia vitani inapaswa kuwa uamuzi wa mwisho baada ya maamuzi mengine kushindikana
 
JWTZ hii la leo haliwezi kupigana na Rwanda nawapeni 💯
We mbwa ya kitusi kwa taarifa yako tu hao ndugu zako jeshi la paka hawatamani hata kusikia hili likitokea battle ya kivita kati yenu na sisi wabongo,, hata huyo paka wenu anavyobwabwaja hovyo wanajeshi hawapendi lkn hawana kauli kulingana kwa sasa majirani zenu wote wanawaoneni wadwanzi.
 
Hahahaha we hivi unadhani mimi ni Mnyarwanda, nikisema humu kuna vichaa wengi mnabisha. Mimi FYI Nyerere alikuwa hatoki kwa babu yangu basi kama hujui endelea kuota.

Nilicho sema kipo wazi JWTZ lile la Nyerere si hili la leo, niambie lini wamepigana vita bada ya vita vya Uganda.

Rwanda wao vita imeisha kuwa.ndio mchezo wao.

Nenda kapime akili zako vizuri au punguza pombe za gongo kunifananisha mimi na Wanyarwanda. Ningekuwa Mnyarwanda ninge kuwa proud kujita Mnyarwanda si wewe au babu yako wakunitisha
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda kulinda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Tungekua dhaifu hivyo Kwa sasa tungeshakua danguro la ugaidi mkuu..... Heshimi JITIHADA za watu.
 
Hahahaha we hivi unadhani mimi ni Mnyarwanda, nikisema humu kuna vichaa wengi mnabisha. Mimi FYI Nyerere alikuwa hatoki kwa babu yangu basi kama hujui endelea kuota.

Nilicho sema kipo wazi JWTZ lile la Nyerere si hili la leo, niambie lini wamepigana vita bada ya vita vya Uganda.

Rwanda wao vita imeisha kuwa.ndio mchezo wao.

Nenda kapime akili zako vizuri au punguza pombe za gongo kunifananisha mimi na Wanyarwanda. Ningekuwa Mnyarwanda ninge kuwa proud kujita Mnyarwanda si wewe au babu yako wakunitisha
Wewe ni mnyarwanda tu,, ingekuwa mtanzania usingehoji watanzania kwa sasa wamepigana vita gani tangu enzi ya amini,,, kwa taarifa yako tu wewe na wanyarwanda wenzio Tanzania chini ya jeshi la wananchi JWTZ wameshiriki na wanaendelea kushiriki misheni nyingi tu duniani tena uweledi mkubwa,, mfano mdogo ni 2013 chini ya usimamizi wake afande mwakiborwa hapo hapo goma, kilichowakuta hao ndugu zako M23 mpaka baba yenu paka alikuwa analia analia,,, unachotakiwa kufahamu tu ni kwamba,, hapo kwenu rwanda ni makomandoo kumi tu kutoka ngerengere wanatosha kabisa kumaliza shughuli mbwa wa kitusi weee..
 
WE ndio mjinga unafikiri Kwa kutumia tako tanzania hamna jeshi ni wavunja matofali Kwa maonesho jeshi lipo Rwanda kama unabisha ingiza pua kigali
Kigali ni pa kawaida Sana tunashinda huko tunatoka huko udhaifu anaoutumia jamaa ni jeshi la DRC lipo dhaifu halina askari wenye morali Wala wenye mafunzo yote wakifanya mkakati huo baada ya kuanza kuwapa vyeo.watutsi katika jeshi la Congo ndipo walipoanza kuingia wanajeshi wao na kudidimiza mipango.. hao M23 NI Watutsi waliopo Congo usiikuze Kigali nawashangaa sna mnavyoikuza kisa propaganda za mtandaoni.
 
Wewe ni mnyarwanda tu,, ingekuwa mtanzania usingehoji watanzania kwa sasa wamepigana vita gani tangu enzi ya amini,,, kwa taarifa yako tu wewe na wanyarwanda wenzio Tanzania chini ya jeshi la wananchi JWTZ wameshiriki na wanaendelea kushiriki misheni nyingi tu duniani tena uweledi mkubwa,, mfano mdogo ni 2013 chini ya usimamizi wake afande mwakiborwa hapo hapo goma, kilichowakuta hao ndugu zako M23 mpaka baba yenu paka alikuwa analia analia,,, unachotakiwa kufahamu tu ni kwamba,, hapo kwenu rwanda ni makomandoo kumi tu kutoka ngerengere wanatosha kabisa kumaliza shughuli mbwa wa kitusi weee..
Kenge atabaki kuwa kenge tu ikiwa huwezi kujua nani Mnyarwanda utajua udhaifu wa JWTZ.

Hivi JWTZ hawap Congo ? Au wale ni JKT 😆 😂

Wewe kao ukiota kama JWTZ wanaweza kupigana na Rwanda kwa sasa, kwa tarifa yako hata vita vya Uganda na ndio JWTZ wakati ule waliikuwa strong. Tanzania aliisaidiwa na Msumbiji mimi nilishuhudia kabisa hayo. Magari yetu ndio yalikuwa yakiwapeleka Mtukula. Ukienda Gogle utasikia Tanzania alipigana peke yake bila kusaidiwa, na hicho sio kweli.

Sawa wacha tukuwache ubaki na ujinga wako, wakuwamini JWTZ halipo Congo. Hizo mission anazo shiriki JWTZ kama mlinzi usalama na akabahatika kurusha mabomu huku na kule kuwauwa badhi ya wanamgambo wa M23 au jeshi la Rwanda si kwamba ndio atashinda vita akipigana na Rwanda.

Ukitumia akili za kitoto utamini ukubwa wa jeshi na silaha ndio utakupa ushindi lakini vita ni skills.

Hebu nipe point ya Military Strategy wacha kujitoa akili JWTZ wana skills ipi yakuweza kuwashinda Rwanda vita kwa sasa, lazima ufahamu vita sio ukubwa wa jeshi au kumiliki silaha nyingi.

Hebu kawaulize Msumbiji Tanzania alivyo chakazwa pale mpakani na Msumbiji kupigana na wasi wa Msumbiji ilipidi Rwanda ndio akatulize mchezo huo. Hilo wewe huwezi kuambiwa ukweli wanaficha aibu zao.
 
Kale kamkoa katachafuka soon, mwakibolwa aliwachapa hadi walijuta na kuanza kulia
 
Back
Top Bottom