Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Kenge atabaki kuwa kenge tu ikiwa huwezi kujua nani Mnyarwanda utajua udhaifu wa JWTZ.

Hivi JWTZ hawap Congo ? Au wale ni JKT 😆 😂

Wewe kao ukiota kama JWTZ wanaweza kupigana na Rwanda kwa sasa, kwa tarifa yako hata vita vya Uganda na ndio JWTZ wakati ule waliikuwa strong. Tanzania aliisaidiwa na Msumbiji mimi nilishuhudia kabisa hayo. Magari yetu ndio yalikuwa yakiwapeleka Mtukula. Ukienda Gogle utasikia Tanzania alipigana peke yake bila kusaidiwa, na hicho sio kweli.

Sawa wacha tukuwache ubaki na ujinga wako, wakuwamini JWTZ halipo Congo. Hizo mission anazo shiriki JWTZ kama mlinzi usalama na akabahatika kurusha mabomu huku na kule kuwauwa badhi ya wanamgambo wa M23 au jeshi la Rwanda si kwamba ndio atashinda vita akipigana na Rwanda.

Ukitumia akili za kitoto utamini ukubwa wa jeshi na silaha ndio utakupa ushindi lakini vita ni skills.

Hebu nipe point ya Military Strategy wacha kujitoa akili JWTZ wana skills ipi yakuweza kuwashinda Rwanda vita kwa sasa, lazima ufahamu vita sio ukubwa wa jeshi au kumiliki silaha nyingi.

Hebu kawaulize Msumbiji Tanzania alivyo chakazwa pale mpakani na Msumbiji kupigana na wasi wa Msumbiji ilipidi Rwanda ndio akatulize mchezo huo. Hilo wewe huwezi kuambiwa ukweli wanaficha aibu zao.
We kenge wa kinyarwanda usiniandikie gazeti,, kama umetumwa humu uje upige mkwara na wanyarwanda wenzie waambie sie hatuogopi,, kama mnaweza jaribuni kuchukua hata robo heka ya ardhi kama mnavyofanya kule DRC then mnataona kilichomtoa kanga manyoya ya shingo
 
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC

———

At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the conflict in DR Congo. President Kikwete informed other leaders that Tanzania was ready to use force. Months later, Tanzanian troops were deployed, but as News of Rwanda reports, the deployment is a personal project of President Kikwete after ignoring advice of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).

Since the ICGLR authorized the deployment of 3,069 troops, including 1,283 Tanzanian Special Forces, the events moved so fast. In April, Tanzanian Brigadier General James Aloizi Mwakibolwa was named the commander of the so called Neutral Intervention Force (NIF). On 10[SUP]th[/SUP] May 2013, the first batch of 100 elite forces arrived in Goma. Even as the world was celebrating the developments on the ground in eastern DRC, back in Tanzania however, tempers were at exploding point between President Kikwete on one side and the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).

News of Rwanda has established that around July 2013, President Kikwete unilaterally appointed a man we have only managed to identify as Mr Zongo to be the deputy director general of TISS. The shocking appointment was retaliation against the director general of TISS, Mr. Rashid Othman, who had rigidly refused to endorse the deployment of Tanzanian troops in DR Congo. According to sources close to Mr. Othman, he accused President Kikwete of "mishandling the geopolitical situation" in the region at the expense of Tanzania.

The man who the Tanzania state was paying to plan for its security strategy, feared that President Kikwete's "unilateral decision" would come back to haunt Tanzania. As the supreme leader, President Kikwete was not impressed, and moved to curb the powers of the intelligence chief.

Our sources have intimated to News of Rwanda that Mr Zongo is the current defacto boss as TISS and is the one who liaises between the Presidency and TISS. In comes President Kabila's sister The refusal of TISS chief Mr. Rashid Othman did not come from the blue. Information obtained by our investigations team shows that the deployment of Tanzania troops had been a personal pledge by President Kikwete to DRC President Joseph Kabila when he was in Tanzania for the SADC Troika summit on 5[SUP]th[/SUP] September 2012. But how did the Kikwete pledge come? The two presidents have cultivated a very close relationship to the point that the two families are business partners. Tanzania's First Lady fondly known as Mama Salma Kikwete and President Kabila's twin sister Jaynet Kabila have a mineral export business operating from Dar es Salaam's MIKOCHENI suburb.

News of Rwanda investigations have led us to two very luxurious "shops" in Dar es Salaam. One of them is named RENZO located within the upper class MIKOCHENI Shopping Mall opposite SAVERIOS Pizza. The other "shop" is VIRAGO, positioned opposite Baraka Plaza. Both these shops are located in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam where Tanzania's rich and good brash shoulders. According to sources on the ground, these two Kikwete-Kabila shops sell the most luxurious clothing and jewelry in Tanzania.

However, despite the size and expensive line of business, the "shops" are not registered with the Tanzania Revenue Authority (TRA). The two names are not found anywhere in the tax receipts of the TRA, which according to well-informed sources, means they do not pay taxes. However, nobody including the TRA commissioner general Harry Kitilya can say anything for fear of retribution. According to people operating businesses within the MIKOCHENI suburb, these particular shops are a no-go zone for ordinary Tanzanians.

Apart from seeing expensive cars packed within the vicinity, the shops are also common with foreigners who do not leave with any materials, and locals suspect strange businesses are taking place inside those buildings. Could it be that the intelligence Chief Mr. Rashid Othman knew from day one that his boss' insistence on sending troops to DRC was not back by any love for Tanzanian interests? Could it be that Mr Zongo was brought to TISS to keep an eye on Othman such that he does not search too far? Only time will tell.

Jaynet Kabila is the twin sister of President Kabila, and a very power force in the DRC parliament. Politicians in DRC see her as the powers-be that choose Congo's fate

Then the FDLR militia emerges First forward, on the morning of 26 May 2013, at a special and tense closed-door Africa Union heads of state summit on DRC, President Kikwete was seated across from Rwandan counter President Paul Kagame. The Tanzanian leader tells Kagame that he needs to sit at the same table with the democratic forces for the liberation of Rwanda rebels to talk peace. President Kikwete was reading from a prepared speech.

As News of Rwanda has reported ever since, Tanzania-Rwanda relations have since gone down the drain. Privately, President Kikwete's closest advisors have confessed to friends that the FDLR issue as advanced by their boss to other African leaders was never discussed. The original speech prepared by the Presidency did not include a reference to peace talks for ending the FDLR problem in eastern Congo.

Publicly, many Tanzanian senior officials have kept quiet leaving only two people to deal with the expected consequences of Tanzania siding with the perpetrators of the genocide. President Kikwete and his foreign affairs minister Bernard Membe have been left to fight alone, reason why they are the only people who speak passionately about the Rwanda-Tanzania showdown. However, it is not accidental. Dorcas Membe, the wife of the foreign affairs minister is a childhood friend of First Lady Mama Salma Kikwete. According to official data, Mama Salma was comes from Lindi, in Southern Tanzania. The First Lady and Dorcas Membe hail from the same village.

On 19th August last year, News of Rwanda reported exclusively Shabyna Stillman, a senior diplomat at the US embassy in Dar es Salaam had sent a secret cable to Washington on Thursday May 5th, 2005 explaining how Mama Salma Kikwete was from the family of ex-Rwanda president Juvenal Habyarimana. Could it be that President Kikwete's sudden move in favour of the FDLR was influenced by the personal friendship with DRC counterpart Joseph Kabila or his wife's ancestry to Rwanda? Only time will tell.
Duuuh hatari
 
We kenge wa kinyarwanda usiniandikie gazeti,, kama umetumwa humu uje upige mkwara na wanyarwanda wenzie waambie sie hatuogopi,, kama mnaweza jaribuni kuchukua hata robo heka ya ardhi kama mnavyofanya kule DRC then mnataona kilichomtoa kanga manyoya ya shingo
Nimeisha kueleza we Kenge unadhani wote Wanyarwanda wanao ongea ukweli 🤣

Nimeisha kueleza vita sio kelele na majisifu sisi tunataka action.

Mbona hujibu swali JWTZ wapo Congo au hawapo?
 
Hahahaha we hivi unadhani mimi ni Mnyarwanda, nikisema humu kuna vichaa wengi mnabisha. Mimi FYI Nyerere alikuwa hatoki kwa babu yangu basi kama hujui endelea kuota.

Nilicho sema kipo wazi JWTZ lile la Nyerere si hili la leo, niambie lini wamepigana vita bada ya vita vya Uganda.

Rwanda wao vita imeisha kuwa.ndio mchezo wao.

Nenda kapime akili zako vizuri au punguza pombe za gongo kunifananisha mimi na Wanyarwanda. Ningekuwa Mnyarwanda ninge kuwa proud kujita Mnyarwanda si wewe au babu yako wakunitisha
Nyie wanywaranda kaeni mkao wa kula ,soon serikali inapitisha operesheni mpya ya kuwarudisha kwenu nyote. Ili mkapigane vita kwenu vizuri.
 
Nimeisha kueleza Kenge anadhani wote Wanyarwanda wanaonongea ukweli 🤣

Nimeisha kueleza vita sio kelele na majisifu sisi tunataka action.

Mbona hujibu swali JWTZ wapo Congo au hawapo?
Subiri majibu mtayapata soon na mjiandae kurudi kwenu Rwanda.
 
Nimeisha kueleza Kenge anadhani wote Wanyarwanda wanaonongea ukweli 🤣

Nimeisha kueleza vita sio kelele na majisifu sisi tunataka action.

Mbona hujibu swali JWTZ wapo Congo au hawapo?
We kenge ya kinyarwanda JWTZ wapo goma kwa mwamvuli wa jumuiya ya Afrika mashariki, na si wao tu hata Kenya , Burundi, South Africa pia wapo, hawa wapo kidplomasia zaidi na si kivita,, ndio maana hata wale askari wa Africa kusini walipouwawa watu wengi walipiga kelele,, kwa akili zako za kuvukia barabara unataka kusema jeshi la Rwanda lina nguvu kwa kipimo hiki cha kile kikosi kilichokwenda kulinda amani ya kwamba rwanda inapigana na Tanzania, South Africa, Kenya etc?. We kweli kenge
 
Nyie wanywaranda kaeni mkao wa kula ,soon serikali inapitisha operesheni mpya ya kuwarudisha kwenu nyote. Ili mkapigane vita kwenu vizuri.
Sawa we endelea kusema mimi Mnyarwanda sina damu ya kinyarwanda mimi. Ningekuwa na damu ya kinyarwanda ningekuwa proud kusema mimi ni mnyarwanda We baki kila mwenye damu ya Kitanzania akisema ukweli kisha kuwa mnyarwanda 😄 🤣 Kenge mmoja.
 
wabongo tuko bize na uchawa umbea na kukatikaaa maunooo tu
Iko siku sim italiaa tu

Ova
 
We kenge ya kinyarwanda JWTZ wapo goma kwa mwamvuli wa jumuiya ya Afrika mashariki, na si wao tu hata Kenya , Burundi, South Africa pia wapo, hawa wapo kidplomasia zaidi na si kivita,, ndio maana hata wale askari wa Africa kusini walipouwawa watu wengi walipiga kelele,, kwa akili zako za kuvukia barabara unataka kusema jeshi la Rwanda lina nguvu kwa kipimo hiki cha kile kikosi kilichokwenda kulinda amani ya kwamba rwanda inapigana na Tanzania, South Africa, Kenya etc?. We kweli kenge
Hivi we unajua hata rank za jeshi wewe hebu niambie nani kakuambia jeshi la UN haliruhusiwi kujibu mapigo ya adui kichaa kweli wewe.

Nimekuliza swali wewe unaye sema Tanzania anauwezo wa kumpiga Rwanda kwa skills zipi kwa maneno au? Au kwa ukubwa wa nchi na silaha 😄 🤣

Vita ni experience na skills sio kila anaye shika bunduki anajua kutumia bunduki na sio kila mwenye kifaru anajua vipi kutumia kifaru.

Kenge mmoja wewe hao M23 bila kuongelea politics si JWTZ, Malawi au South Africa wataweza kuwashinda huwezi kushindana na watu wanao pigania maslaha yao.
 
We kenge ya kinyarwanda endelea kuropoka nyuma ya keyboard lkn, wanyarwanda wenzio sidhani kama wanakuunga mkono, yani JWTZ ufananishe na jeshi uchwara la rwanda na migambo yao M23 ? Sikuzuii kuropoka bando sikununulii mimi ila dawa yenu inachemka, na general nkunda kashasema opelesheni yenu ya kuwasafisha inakuja japo katumia code ila mmelengwa nyinyi watusi mbwa nyie....
 
Kenge we hata unite mimi Mnyarwanda sawa tu, kwa tarifa yako mimi wanawake wa kinyarwanda na wapenda sana bora nikaongeze mke wa kinyarwanda ili watoto wangu wengine wawe na damu za kinyarwanda 😄 🤣 kuliko upate mitoto kenge kama nyie eti mitanzania.

Tanzania pesa hana ya kununua vitanda hospitalini awe na budget ya kuingia vitani, we unadhani vita ni lele mama eti kasema Jacob Nkunda.

We tuombe Tanzania asingie hio vita ujuwe maendeleo yatakwama yote Rwanda ana silaha mpaa za Israel nyie bakini Nkunda kasema

Huyo Nkunda si wa majuzi hata Mtukula anapasikia tu.
 
Tabora- 75,150 km²
Rwanda- 26,338 km²
Sikonge District - 27,873 km²

Rwanda ni kama wilaya ya Sikonge. Kagame kwa level ya Tanzania ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge 🤣
Hivyo Hussein Mwinyi hata level ya Mkuu wa Wilaya ya Sikonge hajaifikia - 2,462 square kilometers, tukubaliane Hussein Mwinyi ni sawa na katibu tarafa.
 
Una roho ya kibinafsi ww jamaa,
Kongo wanaishi kina nani?? si waafrica wenzio kama ww, kifupi wakongo na watz ni watu wamoja tulitenganishwa na mipaka!!
Huna tofauti na kina Tip tip waiowashika wenzao na kuwauza kwa wageni!!

Africa imepata watu wenye Laana kama ww!!Mungu atusaidie ,watu weusi tuna mijitu imelaaniwa kama hili .Kilaaniwe na kizazi chako
Wao wako busy kucheza sebene wewe unahangaika na kutapatapa kifikra tena kwa mihemko kisa hao wacheza sebene? Wapambane na hali zao or at least they gotta fight back na efforts zionekane, wamekalia utapeli tu yaani kila jambo lao mpaka walifanye kisanii hata vita wanataka wapiganiwe na watu wengine huku wao wakikata viuno majukwaani.
 
Hivi we unajua hata rank za jeshi wewe hebu niambie nani kakuambia jeshi la UN haliruhusiwi kujibu mapigo ya adui kichaa kweli wewe.

Nimekuliza swali wewe unaye sema Tanzania anauwezo wa kumpiga Rwanda kwa skills zipi kwa maneno au? Au kwa ukubwa wa nchi na silaha 😄 🤣

Vita ni experience na skills sio kila anaye shika bunduki anajua kutumia bunduki na sio kila mwenye kifaru anajua vipi kutumia kifaru.

Kenge mmoja wewe hao M23 bila kuongelea politics si JWTZ, Malawi au South Africa wataweza kuwashinda huwezi kushindana na watu wanao pigania maslaha yao.
Sisi tubaki na uchawa tu
Huko tusiguseee

Ova
 
Naongea facts.

Wabongo wanaamini kila nchi inawaonea wivu wakati reality is the opposite. Hawaijui kabisa bongo.

Bongo wananchi wanaamini TZ tu ndo ina rasilimali kumbe TZ haipo top10 ya kitu chochote cha msingi Africa let alone duniani.

Huu ujinga wakujiona special ndo umefanya wabongo wawe watu inferior na kujifungia ndani badala ya kushindana globally.
Wabongo wengi hawana exposure, wakifikaga 'viwanja' huwa wanashangaa ambavyo TZ haijulikani kabisa and those who know it don't even give a damn about it. Lack of exposure inawafanya kuona kama TZ is the center of the universe, that everything evolves around it. They can't see further than the end of their noses.
 
Historia ya vita vya kagera imebeba mengi sana... JWTZ walirahisishiwa ushindi baada ya jeshi la Amin kuasi na kuanza kupigana kumng'oa Amin walijiita UNLF ndio walikuwa wa kwanza hata kuuteka mji wa Kampala..
Acha ujinga waasi wa Uganda wakati wa Amin hawakuwa na nguvu hata kidogo

Waasi wa Uganda hawakukomboa wilaya hata moja

Tz ilipata uungwaji mkono na wananchi wa uganda wa maeneo ya kusini lkn jeshi la amin lilikuwa limejaa askari kutoka kabila lake ambalo walipigana mpaka mwisho

Masaka na mbarara ndio Tz ilipata support ya wananchi wa uganda lkn Kampala na jinja ilikuwa ni mbondee manene
 
Back
Top Bottom