Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Rwanda Vs kambi ya jeshi monduli, mondulj ingeshinda
 
Mnajiuliza na kijijbu wenyewe. Mnahangaika na mtu asiyekuwa na muda na nyie.
 
Zilindeni sana karagwe na kyerwa... Siku zikiwa miji mikubwa kama Goma usumbufu utaanza tu.
 
Niliwahi fanya kazi na binti wa Blue Coast pale GGM kwa sasa kaolewa Kigali,unachoongea ni kweli kabisa
Ukweli ndo huo.. Be tanzaznia tunaishi kijamaa ..yaaan hatujali chochote..hatuna uchungu na Mali zetu.. tupo kama watoto yatima.kama magu aliliona hili akawa mbali na kagame unadhani Nini? Ila biteko nadhani wamefa ya vizuri kumpa unaibu wazir..hataweza kugombea Tena.. huyu jamaa alichorewa ramani Hadi akafika pale haikuwa bhati mbaya
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda kulinda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
 
Chuma hiki hapa bwana wa majeshi.
images (1).jpeg
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, hawana misingi wala utayari wa kuwa front kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Naona mamluki wa Mtu mrefu na pia refu amekutumia ili uanze kuwatia watu hofu,, sasa Kwa taarifa Yako pakijarbu tutaifuta iyo nchi na tunawapeleka wachaga wakakae pale maana kwao pamejaa alaf tutapaita Chaga land iwe ni mkoa mmoja wapo wa tz pumbavu na nusu,na usrudie Tena kuponda jwtz yetu,then keep distance from tz
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Wewe ni mchochozi wa vita, Tanzania haina issue na Rwanda kwanini wapigane, mpaka tuvamiwe nao ndo tuanze kutetea aridhi yetu......
 
Wacha kulinganisha usingizi na kifo. Labda wewe ni mnyarwanda
 
Back
Top Bottom