Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Uchuma gani anao mtu mrefu kama rula? Awaonee hao Wakongo tu ambao kutwa wanapenda kupaka mkorogo, kulelewa na mijimama na kukata viunoChuma hiki hapa bwana wa majeshi.View attachment 3219614
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchuma gani anao mtu mrefu kama rula? Awaonee hao Wakongo tu ambao kutwa wanapenda kupaka mkorogo, kulelewa na mijimama na kukata viunoChuma hiki hapa bwana wa majeshi.View attachment 3219614
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.
Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.
Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.
Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.
Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Robert Heriel Mtibeli mkuu umeibiwa simu au?Wale wapelelezi 10 walioleta Hofu kwa Waisrael, Musa aliamua kuwaua
Nakukumbusha tuu. Jeshini watu kama ninyi hupigwa risasi na Kuuawa.
Robert Heriel Mtibeli mkuu umeibiwa simu au?
Muambieni mjinga huyu, ana demoralise jeshi la taifa kwa ushabiki wake wa kitusi, mpumbavu kabisa hu sio mda muafaka kuandika kitu kama hicho.Nimekukumbusha tuu Mkuu.
Mambo ya kijeshi hayapelekwi kiraia Wala kidemokrasia.
Huko Jeshini taarifa kama hii huweza kupelekea Kifo CHAKO
Atawanyoosha,Jamaa hatanii uwezo anao,jeshi analo mpaka ndani ya Ikulu za nchi zinazomzunguka za maziwa makuu.Uchuma gani anao mtu mrefu kama rula? Awaonee hao Wakongo tu ambao kutwa wanapenda kupaka mkorogo, kulelewa na mijimama na kukata viuno
Brother, hatutapigana na RDF kwasababu wanauwezo mkubwa bali ni kwasababu ni ndugu zetu,ni jirani zetu,naamini diplomasia itatumika zaidi kusuluhisha..Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.
Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.
Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.
Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.
Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, hawana misingi wala utayari wa kuwa front kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Muambieni mjinga huyu, ana demoralise jeshi la taifa kwa ushabiki wake wa kitusi, mpumbavu kabisa hu sio mda muafaka kuandika kitu kama hicho.
huna haja ya kutusi leta hoja utajibiwaMuambieni mjinga huyu, ana demoralise jeshi la taifa kwa ushabiki wake wa kitusi, mpumbavu kabisa hu sio mda muafaka kuandika kitu kama hicho.
umesema vizuri. kuhadharisha ni njia mojawapo ya kutimiza wajibu mkuuMtoa Uzi usikwepe majukumu
jenga hoja kiongozi usijifiche kwenye ivo viingerezaCoward
Ukweli mchungu, Ukraine, Israel imefika hatua raia wanakimbia kujiandisha jeshini ila bongo vijana wanakimbilia kujiandikisha jeshini wako radhi hata wahonge pesa waingizwe jeshini sasa Hawa ukiwatupa site wachache sana wata survive.Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.
Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.
Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.
Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.
Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.
Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.
Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.
Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.
Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
mkuu wewe umeelewa point yangu 🤝🤝Ukweli mchungu, Ukraine, Israel imefika hatua raia wanakimbia kujiandisha jeshini ila bongo vijana wanakimbilia kujiandikisha jeshini wako radhi hata wahonge pesa waingizwe jeshini sasa Hawa ukiwatupa site wachache sana wata survive.
kwavipi mkuu? ongeza nyama kwenye maelezo yako na ujifunze kujenga hoja hata km ukubaliani nayo.Rwanda iko overrated san