Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Kenge atabaki kuwa kenge tu ikiwa huwezi kujua nani Mnyarwanda utajua udhaifu wa JWTZ.

Hivi JWTZ hawap Congo ? Au wale ni JKT [emoji38] [emoji23]

Wewe kao ukiota kama JWTZ wanaweza kupigana na Rwanda kwa sasa, kwa tarifa yako hata vita vya Uganda na ndio JWTZ wakati ule waliikuwa strong. Tanzania aliisaidiwa na Msumbiji mimi nilishuhudia kabisa hayo. Magari yetu ndio yalikuwa yakiwapeleka Mtukula. Ukienda Gogle utasikia Tanzania alipigana peke yake bila kusaidiwa, na hicho sio kweli.

Sawa wacha tukuwache ubaki na ujinga wako, wakuwamini JWTZ halipo Congo. Hizo mission anazo shiriki JWTZ kama mlinzi usalama na akabahatika kurusha mabomu huku na kule kuwauwa badhi ya wanamgambo wa M23 au jeshi la Rwanda si kwamba ndio atashinda vita akipigana na Rwanda.

Ukitumia akili za kitoto utamini ukubwa wa jeshi na silaha ndio utakupa ushindi lakini vita ni skills.

Hebu nipe point ya Military Strategy wacha kujitoa akili JWTZ wana skills ipi yakuweza kuwashinda Rwanda vita kwa sasa, lazima ufahamu vita sio ukubwa wa jeshi au kumiliki silaha nyingi.

Hebu kawaulize Msumbiji Tanzania alivyo chakazwa pale mpakani na Msumbiji kupigana na wasi wa Msumbiji ilipidi Rwanda ndio akatulize mchezo huo. Hilo wewe huwezi kuambiwa ukweli wanaficha aibu zao.
Vita ya Kagera msumbiji ilitoa askari 200 tu tena bila silaha yoyote nzito

Vita ya Kagera waliotoa mchango mkubwa ni wachina walitoa makombora ambayo yalisaidia kulitoa jeshi la amin mlimani mtukula (kijografia mpaka wa Tz na Uganda unawapa uganda faida ya kuiona Tz kwa chini)

Ussr hawa ndio walitoa Bm-21 ambazo zilitolewa Bulgaria

Kuhusu mtanange wa hapo msumbiji mpakani JW ndio wamepasafisha that why mipaka ya TZ ipo salama mpaka sasa
Wapo askari ambao nawafahamu wametoka mpakani huko mwaka Jana mwezi wa nane baada ya hali kuwa nzuri
 
Ukanda doesn't change conservative nature ya wabongo.

Kuna nchi hazina rasilimali na bado ni tajiri, utajiri sio rasilimali tu. Kenya wametuacha mbali japokuwa tuna rasilimali zaidi yao.

Best gold refineries duniani zipo Swiss ila Swiss haina hata shimo moja la kuchimba dhahabu.

Inferiority complex waliyonayo wabongo inasababishwa na ujinga ndo maana JPM alikua anawaita wanyonge. Wanajiweka kwenye box wenyewe wakidhani wao tu ndo matajiri na kila mtu anawaanglia, dunia ishaondoka huko. Unaweza kuwa na kila kitu na bado ukawa fukara.
Inferiority complex plus low self-esteem ndiyo 'Utanzania', watu hawana uelewa na wanejazwa uoga kipumbavu mno. Watu wanaoitwa(wanatukanwa) wanyonge na wanashangilia kiboya.
Switzerland haina natural resources na wala haina ardhi ifaayo kwa kilimo na pia hawakutawala Afrika msiwasingizie walichota utajiri wakati wa ukoloni lakini that country is amazingly successful, Kenya bila ya madini wala mafuta ndiyo economic giant katika ukanda wetu.
Maneno mengi uwezo zero, that's TZ.
 
Acha ujinga waasi wa Uganda wakati wa Amin hawakuwa na nguvu hata kidogo

Waasi wa Uganda hawakukomboa wilaya hata moja

Tz ilipata uungwaji mkono na wananchi wa uganda wa maeneo ya kusini lkn jeshi la amin lilikuwa limejaa askari kutoka kabila lake ambalo walipigana mpaka mwisho

Masaka na mbarara ndio Tz ilipata support ya wananchi wa uganda lkn Kampala na jinja ilikuwa ni mbondee manene
Screenshot_20250201-173509.jpg
 
Niko na wewe udogo wa nchi sio udhaifu wa jeshi tazameni mfano mdogo Congo anavyo lizwa na hao M23 wanao pewa support na Rwanda. Msiende mbali waulize Msumbiji nani aliwasaidia.

JWTZ hii la leo haliwezi kupigana na Rwanda nawapeni 💯

..Tz na Rw zipigane kwasababu zipi?

..Na hiyo vita itapiganwa wapi?

..Proxy wars ni tofauti kabisa na vita ya moja kwa moja.
 
..Ugandan rebel force walikuwa kikosi kidogo ndani ya brigade ya Jwtz.

..Jwtz ingeweza kupigana vita na Iddi Amin na kushinda bila kushirikisha Ugandan rebels.

..Kwa upainde mwingine Ugandan rebels wasingeweza kupigana na Iddi Amin na kumshinda bila msaada wa Jwtz.

..kabla ya vita vya Kagera Ugandan rebels walikuwa wamejichokea na kukata tamaa. Walikuwa wanasubiri labda Amini afe maana alishatangaza kuwa ni Rais wa maisha.

..Jwtz iliamua kushirikisha Waganda ktk kupigana na Amin kwasababu kulihitajika jeshi jipya baada ya kumtoa Amini.

..Tanzania pia haikutaka ionekane kama an occupying force baada ya Iddi Amin ndio maana hata matangazo kwa serikali ya Uganda imeanguka yalitolewa na [ Lt.Col.Oyite Ojok ]askari wa Kiganda aliyepigana kwa kushirikiana na Jwtz.

NB:

..Ugandan rebel ilikuwa mchanganyiko wa askari mbalimbali wakiwemo waliokimbia na Obote, kikundi kilichoundwa na Museveni kilichokuwa trained Msumbiji, etc

..Salim Salehe aliyepata kuwa Cdf wa Updf, na Fred Rwigyema shujaa wa Rwanda, ni baadhi ya askari waliofundishwa Msumbiji wakati wa vita vya ukombozi.
 
Vita ya Kagera msumbiji ilitoa askari 200 tu tena bila silaha yoyote nzito

Vita ya Kagera waliotoa mchango mkubwa ni wachina walitoa makombora ambayo yalisaidia kulitoa jeshi la amin mlimani mtukula (kijografia mpaka wa Tz na Uganda unawapa uganda faida ya kuiona Tz kwa chini)

Ussr hawa ndio walitoa Bm-21 ambazo zilitolewa Bulgaria

Kuhusu mtanange wa hapo msumbiji mpakani JW ndio wamepasafisha that why mipaka ya TZ ipo salama mpaka sasa
Wapo askari ambao nawafahamu wametoka mpakani huko mwaka Jana mwezi wa nane baada ya hali kuwa nzuri
Sawa kama Msumbiji alitoa askari 200 we unafahamu kuwauwa askari 200 sio mchezo rahisi, haswa wakiwa wale professionals. Silaha gani wewe unaongelea time zile zilikuwa zinatumika zaidi MK47 hata home tulikuwa nazo za kuangushia nyati 🤣

Tuwache story nyingi JWTZ hawezi kuwashinda Vita hao M23 wameisha jipanga vizuri sana. We unaelewa Tanzania akisha nasa mtego wa kuzamia Congo usidhani atatoka kapata ushindi time itaongea.

Msije anza lia badaye Samia hajengi barabara na umeme unakatika katika sababu Vita inachukua budget sio mchezo hao askari wanahitaji chakula, mafuta, dawa, risasi, mabomu, n.k.

Vita isikie kwa wengine usiombe jeshi la JWTZ likajinunulie kesi ambayo hawezi kushinda.

Mimi namini Mama Samia sio stupid kama mnadhani atakubali kuanzisha vita na Rwanda.
 
..vita vya Tz na Ug vilipiganwa kwa kutumia silaha ambazo kwa wakati huo zilikuwa za kisasa.

..Na Iddi Amin alisaidiwa mpaka wa askari wa Libya na Wapalestina lakini alishindwa.

..Kilichosababisha Iddi Amin ashindwe ni kwasababu alikuwa unpopular ndani ya Uganda, na alikuwa ameanza kuliharibu jeshi lake.

..Pia vita ya Kagera, na kuanguka kwa Iddi Amin, ndio kuliwezesha kuzaliwa kwa UPDF na baadae RDF.

..Mnyarwanda anayedharau vita vya Kagera na ushindi wa JWTZ haifahamu kwa undani historia ya RDF.
 
Umenikumbusha joke moja ya mwalimu wa primary school hata OND hana, anakuambia yule ni mwanafunzi wangu, wakati mwanafunzi wake wa primary kisha kuwa ana PhD 🤣

Sawa basi JWTZ litawapiga Rwanda, hizi akili za Mtukula ni noma sana watu wanatengeneza barabara za underground nyie mme baki na story ya daraja la kagera.

Ingekuwa history ndio inawapa ushindi basi haina haja ya kujifunza tactics mpya za kupigana.
 
..Nimekukumbusha tu historia kwamba Tanzania isingemfurumusha Iddi Amin asingepatikana Rais Yoweri Museveni ambaye alikuja kuwafadhili ktk harakati zenu za kurudi Rwanda.

..Lakini ndugu zetu nyinyi msivyo na shukurani mkawauwa Waganda mkiwa DRC. Nadhani hujasahau mlichokifanya Kisangani.

..Kuhusu JWTZ na wenyewe sio wale wa Mutukula. Afande Twalipo wa vita vya Uganda hayupo, kama ambavyo Afande Fred Rwigyema naye hayupo.

..Ninaomba nikutahadharishe kwamba JWTZ sio sawa na jeshi la DRC ambalo lina sifa mbaya ya kutokunza askari wake.
 
Wewe ni mwana jeshi au unashangilia vita kama mpira .

Tanzania hii ya leo haiwezi kupigana vita ikabaki salama .
Sisi sio wamoja ujue hilo .

Kwanza tunataaliwa na wageni kuanzia top kabisa na kinachotutawala ni pesa za rushwa

Ikitokea vita mwenye pesa ndio atashinda kwa maana kwamba Watu watasalitiana ndani kwa ndani kwa sababu vita na Rwanda haina faida yoyote kwetu .
Vurugu za Kongo zinafaida kwa Jeshi letu kuliko amani ya Kongo .

Vurugu za Kongo zina faida ya Nchi za magharibi na Mabepari wa China na Ulaya na sasa waarabu wa dubai maana silaha zinpitishiwa kwenye bandari za Mombasa na ile ya Dubai .

Wanajeshi wetu kwa sasa wanakwenda Kongo kwa malipo makubwa sana toka UN . Na wanafurahia hizo vurugu maana wanapata pesa nyingi sana . Leo hii Kongo ingekuwa na amani bila shaka hali ya amani ya ndani ingekua mbaya maana tungekua na jeshi lenye njaa kali sana .
Afrika ya Kusini ni kati ya nchi inayopelekea wanajeshi Kongo kwa ajili ya kupata pesa sio kumaliza vita .

UN unafadhiliwa na Mabepari wakubwa wanaoiba madini ,mafuta na kuuza silaha . Kwa hiyo bila kuwafukuza wanajeshi wa UN na wanawafadhili vita duniani haitaisha wala Kongo .

Kama mnataka mujue maana ya vita na ubaya wake basi mdanganyeni amiri Jeshi mkuu atangaze vita na Rwanda ndio mtajua wanyarwanda na wageni wapo wangapi humu ndani mpaka ngazi za juu kabisa na ndio pia wanaosababisha nchi inakosa demokrasia na kuheshimu wanyonge mana wapo kwa ajili ya maslahi ya Mabepari wa ndani na nje !
Mtakapoona Miili zaidi ya elfu nne mpaka tano mpaka kumi inashushwa uwanja wa ndege kama mashujaa na bendera ya Tanzania nduo mtajua kuwa vita haina macho .

Kwanza tunapigana na Rwanda kwa sababu ya nini ?
Mbona Rwanda haijavamia eneo la Tanganyika ?
Kongo inaruhusu nini ?
Watu zaidi ya mil.100 badala yao wanawaza uzinzi tu na starehe huku viongozi wao wakiwa wanatorosha mali za nchi na kwenda kujijenga huko ulaya na watoto wao.

Yaani Watanzania tupeleke wanajeshi wetu wakwafie Majitu ya Kongo yenye rroho mbaya na yanayoweza ngono tu na starehe .? Ujinga gani huo. Kila nchi ilinde mipaka yake na watu wake. Hatutaki tena wakimbizi Kugoma.
 
..mimi sijahamasisha vita.

..Na sipendi vita hata kidogo.

..Kitu ambacho sikubaliani nacho, na sikiamini, ni kama Rwanda inao uwezo wa kupigana vita na jeshi lililofunzwa vizuri kama la Tanzania, Kenya, au Uganda.

..Kuhusu Mashariki ya DRC ningetamani waweke silaha chini, waende kwenye uchaguzi wakachague viongozi wanaowataka.
 
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC

———

At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the conflict in DR Congo. President Kikwete informed other leaders that Tanzania was ready to use force. Months later, Tanzanian troops were deployed, but as News of Rwanda reports, the deployment is a personal project of President Kikwete after ignoring advice of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).

Since the ICGLR authorized the deployment of 3,069 troops, including 1,283 Tanzanian Special Forces, the events moved so fast. In April, Tanzanian Brigadier General James Aloizi Mwakibolwa was named the commander of the so called Neutral Intervention Force (NIF). On 10[SUP]th[/SUP] May 2013, the first batch of 100 elite forces arrived in Goma. Even as the world was celebrating the developments on the ground in eastern DRC, back in Tanzania however, tempers were at exploding point between President Kikwete on one side and the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).

News of Rwanda has established that around July 2013, President Kikwete unilaterally appointed a man we have only managed to identify as Mr Zongo to be the deputy director general of TISS. The shocking appointment was retaliation against the director general of TISS, Mr. Rashid Othman, who had rigidly refused to endorse the deployment of Tanzanian troops in DR Congo. According to sources close to Mr. Othman, he accused President Kikwete of "mishandling the geopolitical situation" in the region at the expense of Tanzania.

The man who the Tanzania state was paying to plan for its security strategy, feared that President Kikwete's "unilateral decision" would come back to haunt Tanzania. As the supreme leader, President Kikwete was not impressed, and moved to curb the powers of the intelligence chief.

Our sources have intimated to News of Rwanda that Mr Zongo is the current defacto boss as TISS and is the one who liaises between the Presidency and TISS. In comes President Kabila's sister The refusal of TISS chief Mr. Rashid Othman did not come from the blue. Information obtained by our investigations team shows that the deployment of Tanzania troops had been a personal pledge by President Kikwete to DRC President Joseph Kabila when he was in Tanzania for the SADC Troika summit on 5[SUP]th[/SUP] September 2012. But how did the Kikwete pledge come? The two presidents have cultivated a very close relationship to the point that the two families are business partners. Tanzania's First Lady fondly known as Mama Salma Kikwete and President Kabila's twin sister Jaynet Kabila have a mineral export business operating from Dar es Salaam's MIKOCHENI suburb.

News of Rwanda investigations have led us to two very luxurious "shops" in Dar es Salaam. One of them is named RENZO located within the upper class MIKOCHENI Shopping Mall opposite SAVERIOS Pizza. The other "shop" is VIRAGO, positioned opposite Baraka Plaza. Both these shops are located in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam where Tanzania's rich and good brash shoulders. According to sources on the ground, these two Kikwete-Kabila shops sell the most luxurious clothing and jewelry in Tanzania.

However, despite the size and expensive line of business, the "shops" are not registered with the Tanzania Revenue Authority (TRA). The two names are not found anywhere in the tax receipts of the TRA, which according to well-informed sources, means they do not pay taxes. However, nobody including the TRA commissioner general Harry Kitilya can say anything for fear of retribution. According to people operating businesses within the MIKOCHENI suburb, these particular shops are a no-go zone for ordinary Tanzanians.

Apart from seeing expensive cars packed within the vicinity, the shops are also common with foreigners who do not leave with any materials, and locals suspect strange businesses are taking place inside those buildings. Could it be that the intelligence Chief Mr. Rashid Othman knew from day one that his boss' insistence on sending troops to DRC was not back by any love for Tanzanian interests? Could it be that Mr Zongo was brought to TISS to keep an eye on Othman such that he does not search too far? Only time will tell.

Jaynet Kabila is the twin sister of President Kabila, and a very power force in the DRC parliament. Politicians in DRC see her as the powers-be that choose Congo's fate

Then the FDLR militia emerges First forward, on the morning of 26 May 2013, at a special and tense closed-door Africa Union heads of state summit on DRC, President Kikwete was seated across from Rwandan counter President Paul Kagame. The Tanzanian leader tells Kagame that he needs to sit at the same table with the democratic forces for the liberation of Rwanda rebels to talk peace. President Kikwete was reading from a prepared speech.

As News of Rwanda has reported ever since, Tanzania-Rwanda relations have since gone down the drain. Privately, President Kikwete's closest advisors have confessed to friends that the FDLR issue as advanced by their boss to other African leaders was never discussed. The original speech prepared by the Presidency did not include a reference to peace talks for ending the FDLR problem in eastern Congo.

Publicly, many Tanzanian senior officials have kept quiet leaving only two people to deal with the expected consequences of Tanzania siding with the perpetrators of the genocide. President Kikwete and his foreign affairs minister Bernard Membe have been left to fight alone, reason why they are the only people who speak passionately about the Rwanda-Tanzania showdown. However, it is not accidental. Dorcas Membe, the wife of the foreign affairs minister is a childhood friend of First Lady Mama Salma Kikwete. According to official data, Mama Salma was comes from Lindi, in Southern Tanzania. The First Lady and Dorcas Membe hail from the same village.

On 19th August last year, News of Rwanda reported exclusively Shabyna Stillman, a senior diplomat at the US embassy in Dar es Salaam had sent a secret cable to Washington on Thursday May 5th, 2005 explaining how Mama Salma Kikwete was from the family of ex-Rwanda president Juvenal Habyarimana. Could it be that President Kikwete's sudden move in favour of the FDLR was influenced by the personal friendship with DRC counterpart Joseph Kabila or his wife's ancestry to Rwanda? Only time will tell.
Kikwete alikua anaona mbali sana.
Huyu kweli Diplomatic leader
 
..Nimekukumbusha tu historia kwamba Tanzania isingemfurumusha Iddi Amin asingepatikana Rais Yoweri Museveni ambaye alikuja kuwafadhili ktk harakati zenu za kurudi Rwanda.

..Lakini ndugu zetu nyinyi msivyo na shukurani mkawauwa Waganda mkiwa DRC. Nadhani hujasahau mlichokifanya Kisangani.

..Kuhusu JWTZ na wenyewe sio wale wa Mutukula. Afande Twalipo wa vita vya Uganda hayupo, kama ambavyo Afande Fred Rwigyema naye hayupo.

..Ninaomba nikutahadharishe kwamba JWTZ sio sawa na jeshi la DRC ambalo lina sifa mbaya ya kutokunza askari wake.
Mimi sina asili ya kinyarwanda hata chembe 0.01%.

Mtu akiongea ukweli si kwamba ni mnyarwanda 😄 🤣
 
Mimi sina asili ya kinyarwanda hata chembe 0.01%.

Mtu akiongea ukweli si kwamba ni mnyarwanda 😄 🤣

..poa kabisa.

..nadhani tusishabikie sana majeshi.

..wakati mwingine majeshi ni vyombo vya uharibifu wa uhai na mali.

..tuungane kushabikia na kuhamasisha mambo mema, ya kujenga, na sio vita.
 
..mimi sijahamasisha vita.

..Na sipendi vita hata kidogo.

..Kitu ambacho sikubaliani nacho, na sikiamini, ni kama Rwanda inao uwezo wa kupigana vita na jeshi lililofunzwa vizuri kama la Tanzania, Kenya, au Uganda.

..Kuhusu Mashariki ya DRC ningetamani waweke silaha chini, waende kwenye uchaguzi wakachague viongozi wanaowataka.

Hakuna nchi ndogo katika vita ya kisayansi .

Tujiulize Tanzania tunanufaika nini na hao wakongo . Nchi kubwa yenye madini na rasilimali nyingi duniani inashindwaje kutumia rasilimali zake kuwaletea wetu wake maendeleo badala yake inatumiwa na wazungu kuwafukuza Watusi kwenye ardhi yenye madini ili wazungu wachimbe hayo madini .

Kwa nini Tanzania ipoteze watoto wa maskini kwa sababu ya kulinda Utawala wa kifisadi wa Serikali ya Kongo ,Yaani watawala wa Kongo wao kazi yao ni kuiba pesa za umma na kwenda kuwejenga Ulaya na kujilimbikizia mali huku wakiwabagua Wanyarwanda wenye asili ya Kongo . Yaani hawana tofauti na mama Samia alivyotaka kufukuza Wamasai Ngorongoro ili waarabu wamiliki hilo eneo . Ni bora hata Samia alikua anawahalishia Handeni lakini Serikali ya Kongo inawafukuza Watusi waende Rwanda . Huo ni ubaguzi na ubaguzi haukubaliki duniani .

Watanzania hatuna sababu ya kupoteza wanajeshi wetu kwa sababu ya Wazungu wanaoiba madini na kutoa pesa chini ya UN .

Vita haina macho Rwanda sio kakikundi ka waandamanaji kama wale wanaoakaga kuandamana na kuzuiwa na zoezi la usafi . Ile ni nchi iliyotuzidi kwa Teknolojia.
Tutaweza tukaipiga Rwanda lakini mpaka vita iishe basi Tanzania itakua imechakaa sana na uchumi wake utaporomoka sana .

Lakini sio hivyo tu Usalama wa nchi utapotea kabisa .

Ule ujambazi wa Kagera na kigoma utarejea kwa kiwango kikubwa sana .

Yaani nchi yetu ni dhaifu sana japo watu wanaisifia lakini ni sifa zisizo na takwimu . Mpaka leo kigoma hapako salama sana . Kagera wananchi waliishi maisha magumu sana kiusalama kwa muda mrefu . Magari yalitekwa na askari kuuawa sana . Sasa tujiulize kwani hatukuwa na jeshi ? Wahalifu walikua wanavuka vipi mipaka na kuja Tanzania ? Kwa nini mpaka leo wakongo na warundi wanaingia sana Tanzania kufanya uhalifu mkubwa na kurudi kwao bila kukamatwa na wanafanya kama wanavyotaka.
Kongo na Burundi ndio wanaofanya uhalifu zaidi Mikoa ya kigoma na Kagera . Rwanda hua hawaingii Tanzania kufanya uhalifu hata siku moja. Sasa iweje waseme kuwa wanafanya uhalifu Kongo wakati Tanzania wanaofanya uhalifu wengi ni kutoka Kongo na Burundi lakini sio Rwanda wala Uganda .

Kuisambaratisha Rwanda ni hatari sana kwa usalama wa wananchi wa Kagera na Kigoma .

Tanzania kamwe isijiinguze kwenye vita ya Rwanda . Wabunge wa Tanzania aishauri serikali ya Samia kuachana na mpango wowote wa kushiriki kwenye vita na Rwanda . Kwanda Ndani ya serikali kuna ndugu zetu wengi wa kutokana Rwanda na wangne wapo mpaka kwenye vyombo vya dola . Lakini pia Kagame amedhibiti nidhamu ya jeshi ndani ya Rwanda hivyo hata silaha amezidhibiti ndio maana majambazi wengi wanatoka Burundi na Kongo lakini sio Rwanda . Kuiangusha Rwanda ni kuwafanya wanyarwanda waingie na silaha kupora fedha mikoa ya jirani kama miaka ya nyuma .

Lakini pia kwa sasa serikali ya CCM imejaa wapenda rushwa ambao wamejaza watanzania roho ya kupenda fedha kuliko utu na haki . Hivyo leo wakitokea mamluki kutoka Rwanda akataka kujipenyeza Tanzania wataingia kirahisi sana kwa kutumia Rushwa . Watapata mpaka uraia ndani ya wiki moja na kuja kuhujumu nchi .

Tulipowasaidia Uganda kuondoa tawala za kidhalimu tulijisifu .
Tulipowasaidia wa S.A kuwaondoa makaburu tulijisifu . Tulipowasaidia Frelimo kuingia madarakani tulijisifu .
Tulipomsadia Kagame kuondoa utawala wa kihuni Tulijisifu .

Rwanda inapowasaidia M23 kuondoa utawala wa kihuni wa Kongo Kinshasa tunamwona Kagame ni mbaya na asiyefaa .

Tunatamani Kongo idhibitiwe na M23 ili nchi ile iwe na amani na maendeleo .
 
Kama hii vita itaharibu maslahi yetu it's better tufanye decision sasahivi tuingie mazima either Kwa kuunda kundi la kihuni tulisupport limsumbue PK ndani ya nchi yake Kama anavyosumbua wengine Kwa maelekezo Hasa (warundi) au tuachane na hili suala Kama halina madhara ya Moja Kwa Moja Kwa nchi na wajeda wetu warudi tutulie wale shisha, vita visivyo na faida ni gharama za kujitakia. Unless tunafaidi madini na rasilimali zingine

N:B kikwete ni mtu sahihi wa kuishauri nchi kuhusu hili aulizwe yeye na atakochojibu kifanyiwe kazi 💯
 
Back
Top Bottom