Kuna kitu wana JF hawakijui?

Kuna kitu wana JF hawakijui?

Dra Maxie

Senior Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
143
Reaction score
216
Habar za new year

Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi

Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu

Inakuwaje
 
Hivi ni ujuaji tu au kuna kujua ndani yake
 
Habar za new year

Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi

Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu

Inakuwaje
Kwa mfano mimi najua mswaki uloutumia leo ni wa mwaka jana....

Au nasema uongo ndugu zangu?

Hili nalo mkalitazame
 
Hapa Kuna Watu Wote Unaowajua
KKK Kuhesabu, Kusoma Na Kuandika
Zinapatikana Hapa Hapa JF

Kuna Watu Dunia Yote Wanaipenda Inapatikana
 
wengi wanagugo ndio wanapata majibu😎😎tumia gugo vizuri🤣
 
"kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf
 
Back
Top Bottom