Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

Itaje hyo Taasisi ambayo haijapata mshahara.
Binafsi taasisi yangu wameanza kulipa usiku huu na mimi sijapata ilaa mwenzangu mmoja kapata ,hatuwezi sema serikali imefilisika ilaa tunaibiwa sanaa sahiv na viongozi wenye dhamana na haya maokoto
 
Awamu ya 5 na 6 ni hatari Sana kwa stahiki za watumishi
 
Inaonekana wamechoka itakuw walimu hao Hadi unwanyanganya simu na kuwarudishia unavyotaka.


Inafikirisha Sana Kama nchi tupo sehemu ikiwa mwajiriwa Hana utofauti na Jobless what shit is
Walimu tulishapewa naskia na wastaafu toka jana sijui juzi Nadhani Sina hakika maana niliuliza nkaambiwa tayari
 
Back
Top Bottom