Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Endeleeni kukopa China sasa kwa mashariti ya kampuni zao kujenga huku 10% zikitembea vizuri kisa unaogopa kuolewa na mwanaume mwenzako.
Ujinga mtupu, ningeshangaa kama ushoga usingefika hapa.
 
Hata kama na yeye anafaidika ila still na sisi ametusaidia.

Yani wewe unataka kusaidiwa tu,jisaidie mwenyewe..

USA ni taifa kubwa,ukatae ukubali.
 
Endeleeni kukopa China sasa kwa mashariti ya kampuni zao kujenga huku 10% zikitembea vizuri kisa unaogopa kuolewa na mwanaume mwenzako.
Ujinga mtupu, ningeshangaa kama ushoga usingefika hapa.
Sikusema china ni malaika ila marekani kadhihilisha upumbavu wake dhahili ...tizama mrussi kabomoa miji ya ukrai aliyoiteka na sasa ksijenga ila marekani hskuna nchi ksibomoa na kuijenga ikajengeka
 
Attachments

  • Screenshot_20241010-164114_YouTube Lite.jpg
    160.3 KB · Views: 1
Hivyo ndivyo invisible hand inavyofanya kazi katika uchumi, fanya kazi, acha kusubiri kupewa na kujengewa tu huku pia unadengua kuolewa na wanaume wa Marekani.
 
Kwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
 
Kwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
Pesa wanazo toa marekani zinatumika kuwafanya viongozi kuwa vibaraka wao na pesa zinakwenda mifukoni mwao na kurudishwa kwenye benk zao ulaya ...wewe ujiulizi vipi viongozi wa africa wanaficha kwao kwenye mabenki yao.tatizo.lenu ni kushindwa kutambua mchezo unao fanyika na world bank na USA
 
Mkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
 
Bila USA ndugu zako wengi wangekuwa washakufa na UKIMWI kama siô wewe mwenyewe.

Bila USA Dunia ya Sasa ingekuwa Haikaliki kutokana na vita kîla Kona ya Dunia.

Bila USA wewe Muafrika ungeendelea kuitwa Nyani na kubaguliwa Duniani kote.

Bila USA kusingekuwa na Haki za Wanawake siô ajabu hata mamaako, Binti zako, shangazi wangekuwa wanaishi Maisha Magumu Sana.

Bila USA ukeketaji, unyanyasaji Kwa makundi maalumu kama weñye ualibino wangeendelea kuuawa Kwa Mila potofu.
Zingatia Kwa Mila na desturi za Afrika albino hutakiwa kuuawa tangu akiwa Mtoto.
Lakini Amerika ndîo wamewafundisha Watu weusi na jamii zào kujielewa.

Bila USA kusingekuwa na Haki ya kuabudu na kuheshimu Dini zingine.

NI mtu mwenye uelewa mdogo WA kujua Dunia imetoka Wapi, ulipo na inapoenda ndiye hajui Faîda ya USA Duniani.

Hata internet unayotumia ni zào la USA
 
Hivyo ndivyo invisible hand inavyofanya kazi katika uchumi, fanya kazi, acha kusubiri kupewa na kujengewa tu huku pia unadengua kuolewa na wanaume wa Marekani.
Wanatumia hiyo mifumo na mikopo kudhibiti africa isiweze kujikwamua kwenye umasikini ndiyo maana akija raisi makini wanamchukia na kumpiga vita
 
Bila USA wewe usingekuwa unachat hapa
 
Mkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
Ni kweli ila marekani ndiyo ina ajenda ya kulikwamisha bara la africa siyo tu wao wanufaike bali wanufaike na kulikwamisha barala afrika pamoja na kuakikisha africa inabaki kuwa na watu wachache kwa kadili iwezekanavyo
 
ARV ni biashara hiyo.

Walitaka kusubstitute na Covid ikabuma.

Ila hawachoki hayo mabeberu watakuja na lingine tu
 
ARV ni biashara hiyo.

Walitaka kusubstitute na Covid ikabuma.

Ila hawachoki hayo mabeberu watakuja na lingine tu

Kwani Kabla ya ukoloni Waafrika walitibiwa bure na waganga waô au mnazungumzia mambo msiyoyajua?

Mganga lazima apewe Pesa.
Sasa hizô ARV mlitaka mpewe bure na hao wazalishaji na viwanda watapataje fedha za kuendesha Maisha yao na Kazi Yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…