Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Asilimia 70 ya huduma za mtandao duniani hupitia jimbo la Virginia. Loudoun County, to be specific.

So put some respect on 🇺🇸 name!

Marekani ina uwezo mkubwa sana wa kuyafanya maisha ya watu duniani kuwa miserable sana kwa zama hizi.
 
M
Mkuu, upo sahihi kabisa; nadhani umtake aende Paramiho akaone mabarabara ya "KWA MSAADA WA WATU WA MERIKANI" ndopi akili yake itakaa sawasawa.
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Kuongezea hata Condoms na ARV anazotumia ni kwa msaada wa Wamarekani
 
Tatizo hapa mpo kiushabiki hapa ndo huwa ni ngumu sana kufikia tamati Mfano mtu akitekwa na kuuawa na awe wachadema wa ccm utasikia anaponda alikuwa anajifanya anajua mno nk .......


Tukija kwenye uhalisia hivyo vindonge vya Arv serkali inalipa hela ndefu mno sio bure.
kwenye chanjo hali kadharika na pia wana malengo yao hapa kataa ukubali.
kwenye uzazi wa mpango na makondomu wanajua mkitumia badae mtaanza nunua dawa za kansa hamtapona na mengine mengi yaliyo jificha nyuma.

History inaonyesha ukimwi ulitengenezwa tu ili wapige hela. na hii nikweli kwanini dawa ya kufumbaza virusi iwepo ila ya kuponyesha isiwepo? ushasikia us kuna ukimwi kama huku? wao hawana damu?
 
Muongezee Barabara ya Tunduma Sumbawanga,bila kusahau ARV
 
USA haijawahi kuuza Wala kununua watumwa.
Ndîo maana unaonekana unaongea mambo usiyoyajua.

Hata Mtu aliyefika kidato cha nne tuu anajua USA hajawahi kufanya biashara ya utumwa
Kaka unaandika mpaka unapitiliza, marekani alikuwa mdau wa biashara ya utumwa na pia yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kusitisha biashara ya utumwa hiyo ni baada ya kutaradadi kwa ugunduzi wa baadhi ya mitambo muhimu hali iliyopelekea miaka michache mbele nchi za ulaya kuleta mapinduzi ya viwanda
 
History inaonyesha ukimwi ulitengenezwa tu ili wapige hela. na hii nikweli kwanini dawa ya kufumbaza virusi iwepo ila ya kuponyesha isiwepo? ushasikia us kuna ukimwi kama huku? wao hawana damu?
Wao wametengeneza ARVs, Wewe na wenzako tengenezeni hiyo dawa ya Ukimwi ili mpige pesa, msiwe mafala kulalamika tu mbona mbona...kama kuna mtu alipaswa kuwajibika kwa uwepo wako hapa duniani.
 
Wao wametengeneza ARVs, Wewe na wenzako tengenezeni hiyo dawa ya Ukimwi ili mpige pesa, msiwe mafala kulalamika tu mbona mbona...kama kuna mtu alipaswa kuwajibika kwa uwepo wako hapa duniani.
Wewe umetengeneza nini mkuu ?
 
Speaking of haki(fair).......... Mkuu dunia haijawahi kuwa fair, haipo fair, na haitakuja kutokea kuwa fair

Maisha yana kanuni ambayo inampa favor TAJIRI kwasababu ya MAARIFA yake.
Shida yetu watu masikini ni kuwachukia matajiri na kuanza kupambana nao........ huwezi kupambana na umasikini wako kwa kupambana na tajiri unaye mtegemea akuwezeshe

Wewe hapa unalalamika USA hatusaidii chochote......... unataka akusaidie bure bure tuu kwasababu yeye ni TAJIRI?
Tajiri hatoagi msaada wa bure tu, lazima kuna namna atarudisha alichotoa maradufu
Ni MAARIFA tu
 
Upo siliasi kwel na ili swali
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Hao wachumba tu hawana maajab,ukibisha muulize kiduku,mwafgani,mwirani,msitia,mhouthi,myemen,mchina,ukitaka usisumbuke,anza kabisa na Mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…