Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Ameeenda kuripoti yeye na dereva wake?Hivi unasoma haya macjangizo au unakomenti tu yaleyale hata ukijibiwa? Mbona unauliza vitu ambavyo vimeshatolewa majibu? Kwa aina hii tutafikia tamati kweli?!
Jikite kwenye maada labda kama umekua mwalimu wa mwandiko semaaaUandishi wako unabeba ujumbe wa masikhala. Ni kama vile hapa tunapoteza muda, I thought We're constructing something legible here.
Kama ndio ukada wenyewe ndio huu bhasi Tanzania ni yakuiombea sana mageuzi ya kifikra na kielimu.
Unauliza maswari ambayo majibu unayo.? A wasting timeAmeeenda kuripoti yeye na dereva wake?
Nakama ameripoti amepewa majibu gani?
Swaki kuuu hapa ni jeee jama yenu ameripoti?
Acha uongo ameeenda lini huko na dereva wake?Unauliza maswari ambayo majibu unayo.? A wasting time
Siku njema
Hunalolote ondokaaa, mkijibiwa mnaaanza kutia hurumaaa. Na kuwa wapooleee saaanaaa.Unauliza maswari ambayo majibu unayo.? A wasting time
Siku njema
safi ndugu kwa kuelimisha .Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria
Hilo la kuchapwa zile mvua za risasi, Lissu asiache kuliongelea kabisa ili kila Mwananchi aelewe ule UFEDHULI. Haiwezekani tukawa na Serikali inayoendesha nchi kama GENGE LA WAHALIFU kisha tukanyamaza tu.Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria
Unasoma darasa la ngapi?
Na anajifanya mcha MUNGUAnajuta tu kwanini alifanya upuuzi na ujinga huo ambao leo na hata kesho atasumbuliwa na "mzimu" wa hilo tukio.
Mbona hajaripoti popote uchunguzi ukafanyika?Hilo la kuchapwa zile mvua za risasi, Lissu asiache kuliongelea kabisa ili kila Mwananchi aelewe ule UFEDHULI. Haiwezekani tukawa na Serikali inayoendesha nchi kama GENGE LA WAHALIFU kisha tukanyamaza tu.
umiminiwe risasi zote hizo halafu upande wa mguuu wa kullia ambapo ni upande wa dereva, halafu dereva atoke anachekerea kweliiii??Huwa mpaka leo najiuliza sipati majibu. Yaani kama kweli waliompiga walidhamiria kumto uhai na walikuwa profesheno, ilikuwaje wampige miguuni tu?
Alikuwa kashafika kwake na amepaki, kwanini hawakusubiri ashuke wapate mwili mzima kulenga panapo madhara zaidi?
Hata mie ninayeangaliaga movi tu najua nikidhamiria nalenga kiwiliwili na kichwa, na tena akiwa amekaa kwenye gari hivyo ndo vinavyoonekana zaidi, na ndivyo vyenye safesi eria kubwa hivyo probabiliti ya kulenga kwa usahihi ni kubwa zaidi.
Mmh, kweli kupanga ni kuchagua.
Jibu la hoja yako liko post number 6.Kwani muhanga yeye ameripoti kwanani nakutoa naelezo iliuchunguzi ufanyike?
Kwa nini hataki yeye na dereva wake wakatie tuuu ata maelezo kiduchuu, ilipolisi wapate pa kuanzia
Alienda kuripoti yeye na dereva wake?Jibu la hoja yako liko post number 6.
Vv
Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Nikiwa nimepona nilazima nilipotishe kesi polisi, au nikubalikuchukuliwa maelezo ili polisi wapelelezi waanzie hapo.Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?
unaumwa wewe, binti abakwe kisha azuie ushirikiano na polisi, unadhani mahakamani polisi watatoboa!!!!Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria
mtu wa kwanza kuona ukimenywa malinda ni wewe mwenyewe au mwenyekiti wako wa serikali ya mtaa????Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?