Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Hivi unasoma haya macjangizo au unakomenti tu yaleyale hata ukijibiwa? Mbona unauliza vitu ambavyo vimeshatolewa majibu? Kwa aina hii tutafikia tamati kweli?!
Ameeenda kuripoti yeye na dereva wake?
Nakama ameripoti amepewa majibu gani?
Swaki kuuu hapa ni jeee jama yenu ameripoti?
 
Uandishi wako unabeba ujumbe wa masikhala. Ni kama vile hapa tunapoteza muda, I thought We're constructing something legible here.
Kama ndio ukada wenyewe ndio huu bhasi Tanzania ni yakuiombea sana mageuzi ya kifikra na kielimu.
Jikite kwenye maada labda kama umekua mwalimu wa mwandiko semaaa

Propaganda zote mkijibiwa mnakimbilia matusi.
 
Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?

Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?

Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Hilo la kuchapwa zile mvua za risasi, Lissu asiache kuliongelea kabisa ili kila Mwananchi aelewe ule UFEDHULI. Haiwezekani tukawa na Serikali inayoendesha nchi kama GENGE LA WAHALIFU kisha tukanyamaza tu.
 
Huwa mpaka leo najiuliza sipati majibu. Yaani kama kweli waliompiga walidhamiria kumto uhai na walikuwa profesheno, ilikuwaje wampige miguuni tu?

Alikuwa kashafika kwake na amepaki, kwanini hawakusubiri ashuke wapate mwili mzima kulenga panapo madhara zaidi?

Hata mie ninayeangaliaga movi tu najua nikidhamiria nalenga kiwiliwili na kichwa, na tena akiwa amekaa kwenye gari hivyo ndo vinavyoonekana zaidi, na ndivyo vyenye safesi eria kubwa hivyo probabiliti ya kulenga kwa usahihi ni kubwa zaidi.

Mmh, kweli kupanga ni kuchagua.
 
Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria

Uelewa wake mdogo sana huyo.
 
Hilo la kuchapwa zile mvua za risasi, Lissu asiache kuliongelea kabisa ili kila Mwananchi aelewe ule UFEDHULI. Haiwezekani tukawa na Serikali inayoendesha nchi kama GENGE LA WAHALIFU kisha tukanyamaza tu.
Mbona hajaripoti popote uchunguzi ukafanyika?
Atambue kua yeye ndo shaidi wa kwanzaaa.
Akilielezea kwa w
Huwa mpaka leo najiuliza sipati majibu. Yaani kama kweli waliompiga walidhamiria kumto uhai na walikuwa profesheno, ilikuwaje wampige miguuni tu?

Alikuwa kashafika kwake na amepaki, kwanini hawakusubiri ashuke wapate mwili mzima kulenga panapo madhara zaidi?

Hata mie ninayeangaliaga movi tu najua nikidhamiria nalenga kiwiliwili na kichwa, na tena akiwa amekaa kwenye gari hivyo ndo vinavyoonekana zaidi, na ndivyo vyenye safesi eria kubwa hivyo probabiliti ya kulenga kwa usahihi ni kubwa zaidi.

Mmh, kweli kupanga ni kuchagua.
umiminiwe risasi zote hizo halafu upande wa mguuu wa kullia ambapo ni upande wa dereva, halafu dereva atoke anachekerea kweliiii??
Haya bwanaaa
 
Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?

Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?

Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?
 
Nikiwa nimepona nilazima nilipotishe kesi polisi, au nikubalikuchukuliwa maelezo ili polisi wapelelezi waanzie hapo.
Kama polisi wasipokuja maadamu nimepona, situkubali haki yangu ipotee bure hivyo itanilazimu niiipambanie haki yangu.

Ila jaaamaa yenu yuko kimyaaaa.
Mbona hajafight tukaonaaa??
 
Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria
unaumwa wewe, binti abakwe kisha azuie ushirikiano na polisi, unadhani mahakamani polisi watatoboa!!!!

sheria ni fani ya watu, ila sharti wasiwe vibungo.
 
Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?
mtu wa kwanza kuona ukimenywa malinda ni wewe mwenyewe au mwenyekiti wako wa serikali ya mtaa????

je wahalifu ni ni mafundi garage mtaani hapo(wameonekana???). au sababu kaptura yako imekutwa getini na mwenyekiti??

zingatia kesi ya kujaribu au kuua ni kesi isiyohitaji ubabaishaji.

lissu anajua ndio sababu aliamua kukaa kimya akimuachia Mungu maana anajua kisheria aliishaharibu hata ushahidi wenyewe.
 
Mleta mada umesema ukweli, Issue ya kupigwa risasi inamfanya Jiwe aonekane mbaya mbele ya umma kwa hiyo wanajaribu kumdiscourage Lissu asielezee hilo tukio.

Nashauri Lissu aendelee kulielezea ili watu wauchukie utawala huu waung'oe madarakani mwezi october 28
 
Back
Top Bottom