Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

HATA MAGUFULI ALISHAWAHIPEWA SUMU KUANAGUKA NA NDEGE LAKINI HASEMI KILA UCHAO TL KUTWANGWA SHABA NI AJALI KAMA ZILIVYO AJALI ZINGINE HIVYO HAIWEZI KUWA MTAJI WA KUOMBEA KURA HATA ANGEKWENDA ANAVUJA DAMU BADO ASINGECHAGULIWA TU.
 

(Shuhuda wa kwanza) unamaanisha nini mtu alieshambuliwa kwa risasi tena awe shuhuda badala ya yy kuwa mlalamikaji?
 
umiminiwe risasi zote hizo halafu upande wa mguuu wa kullia ambapo ni upande wa dereva, halafu dereva atoke anachekerea kweliiii??
Haya bwanaaa

..TL ameeleza kwamba ameumia sehemu nyingi za mwili wake na siyo mguu wa kulia tu.

..tena ameeleza kwamba mkono wake wa kushoto umeumia kuliko mkono wake wa kulia.

..kulingana na maelezo yake waliomshambulia walirusha risasi kutokea upande wa kushoto aliokuwa amekaa yeye.

..Na zaidi ameumia maeneo mengi sana ya mwili wake.

..Ukimya wa Polisi kuhusu tukio hili unatia mashaka sana.
 
Uko free kusema uyafikiriayo ila ni bora useme yenye mantiki kuliko yaliyojaa yenye kudhihirisha upumbavu wako.
[emoji44][emoji44][emoji44] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lissu kamatia hapo hapo, hadi Mhalifu ajitokeze mwenyewe kuomba radhi, au afe kwa presha ya kupanda!
 
Sasa kama polisi wamekaa kimya yeye amechukua hatua gani?
 
Yy na cctv camera pamoja na walinz n nani wangetkiwa waanzie upelelez?yaan nahc kichwan mwako umewekewa tonge la ugali na c ubongo kama binafamu wengine
 
Wanaumia mno!! Eti anatumia tukio hilo kujiombea kura...

Mtu kueleza maswahibu yaliyomkuta..nusu kifo je ni dhambi?
1. Aliyetaka kumuua kwa risasi 16 ni nani?
2. Aliyemyima hela ya matibabu ni nani?
 
Punguani wewe. Ipo siku utawambia hata watoto wa Karume wakafungue kesi juu ya kupigwa risasi kwa baba yao.
Ipo siku utawashauri watoto wa Sokoine waende mahakamani wewe.
Ipo siku utashauri watoto wa IMRANI KOMBE Nao waende mahakamani wewe.
Kazi ya Jeshi la Polisi mini sasa? Japo twajua hao ni MAPOLICCM. ndo mana wakistaafu wanapewa vyeo kama ZELOTE STEVEN
Hovyo?????
 
Kumbu kumbu zipo hata humu jukwaani kuna watu mwaka 2017 walijiapiza kuwa CDM wanahangaika kumtibia marehemu wakiamini kwamba Mh.Lissu haponi.Wenye thread za 2017 wanaweza kutuwekea hapa ili tuwatambue kama si hawa hawa wanaomshauri kutokuongelea tukio la shambulizi lile la kigaidi dhidi yake.

Wanafikiri sisi Tusio Wanyonge tunasahau kama wasahauvyo Wanyonge?We can't forget that easly.Mla muwa husahau lakin mtupa maganda hasahau.Ponda vichwa Kamanda Lissu,hiyo ndiyo kanuni ya msingio ya kuua Joka.

Watanzania wenzangu,Twende na Mh.Lissu,Ni Yeye 2020.Tunatakiwa kuwaondoa wakoloni weusi,wametunyanyasa,wametudharau na kutufanya wanyonge vya kutosha na sasa "Tunasema Sasa Basi"&"No Fear No Hate"
 
Akili zingine hizi.. Aliyekwambia hilo tukio halijaripotiwa ni nani? Hizi akili ndo zinaachwa kujibu hoja zenye akili hapa jukwaani?
 
Inje na matusi vichwani mwenu nikweupeee.
Maana kiki za matusi ndo ilani yenu ya uchaguzi tukianzia kwa jamaa yenu yule.
Tukaneniii tuuuu.
Hatutakaaa kimyaaa mpaka kiki zenu ziiisheee.
 
Inje na matusi vichwani mwenu nikweupeee.
Maana kiki za matusi ndo ilani yenu ya uchaguzi tukianzia kwa jamaa yenu yule.
Tukaneniii tuuuu.
Hatutakaaa kimyaaa mpaka kiki zenu ziiisheee.
Nani anatukana wewe?
Kumwambia amepora KOROSHO za WAKULIMA huko kusini ni tusi?
Kumwambia yeye alikuwa sehemu ya binge lililouza MADINI YETU na kwamba kusema anayapigania leo ni ghiriba ni tusi?
Kumwambia alishiriki kuuza nyumba za umma tena mpaka kwa hawala zake ni tusi?
Kumwambia aliwabomolea watu nyumba zao huko Kimara bila hata kuwalipa kifuta jasho ni tusi hilo?
Kumwambia hajaongeza mishahara kwa watumishi ambayo ni takwa la kisheria ni tusi hilo?
Kwamba Amelia mifumo ya utumishi kwa kuwajaza hofu ni tusi?
Kwamba alinunua ndege bila kufuata sheria za manunuzi ni tusi hilo?
Kwamba aliuza watu bila sababu huko MKIRU Ni tusi?
Kwamba hajatoa Ajira kwa wahitimu nako tusi?
Kwamba alishiriki kuua na kuteka watu ni tusi?
Kwamba aliminya uhuru wetu nalo tusi kwako ndiyo?
Kwamba alijenga uwanja wa ndege kwao bila kufuata sheria za manunuzi wala kupitishwa na bunge ni tusi kwako ndiyo?
SISI HATUTUKANI TUNAHOJI UKWELI SIO MISUKULE KAMA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…