Mie nashauri, dictator JPM the devil awe anafukuliwa kila mwezi anachapwa mboko 40 yule shetaniUkishazoea kula nyama ya mtu hutoacha utaendelea kula tu!!! Watu hao walitaman siasa za piga, uaa,tesa, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani ziendelee!!
Mwenye picha ile ya wanachama fulani wakimshambulia kada wa chama fulani kwa mawe pale Dodoma atuwekee hapa tafadhali.Ukishazoea kula nyama ya mtu hutoacha utaendelea kula tu!!! Watu hao walitaman siasa za piga, uaa,tesa, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani ziendelee!!
Du!Mie nashauri, dictator JPM the devil awe anafukuliwa kila mwezi anachapwa mboko 40 yule shetani
Wanuka damu, Wasiojulikana, WAHAFIDHINA, tabu na shida kwa wengine ndio ulikuwa msingi wa furaha yenu. Mmeumbuliwa na mama. Amewaonyesha kwa vitendo kuwa unaweza kuwa raisi bila kuua, kutisha, kuonea, kufunga wapinzani wako. Nawaambia, huyu mama akiendelea KUWAPUUZA ninyi WAHAFIDHINA. Atalifanyia makubwa taifa hili. Na historia yake itasomwa vema miaka na miaka.Kama kweli hawa wote wanaobeza ni sukumagang basi wapo wengi sanakuliko wanaosifu jitihad za Mwenyekiti kumega kipande cha mkate
Sukuma Gang is a persona used by nincompoops to escape reality that they don't want to catch up with.Huwezi kula mapanki ukawa na akili.
Sukuma gang ni moja ya kundi la watu wenye low IQ, wasiojiamini, makatili na wasioitakia mema nchi yetu.
Falsafa yao ni kupambana na watu wenye maendeleo, kufanya jamii ya tanzania kuishi kwa hofu na kuishi kama mashetani ( sadist) wakati wao wakiiba mali na resources za nchi hii., (1.5 Trillions, Plea bargaining, ndege za mitumba etc)
Mkakati maalumu uwekwe kuwatoa kwenye nafasi zote za uongozi na kuhakikisha wao na vizazi vyao hawatasogea ata kwenye vibaraza vya uongozi
Kwakua mama anapitia nyuzi humu, ninamshauri aanzishe operation tokomeza sukuma gang, toa hizo takataka kwenye serikali yako.
Hili jamaa sasahivi linaishi kama digidigi. Lipumbavu sana
Walikuwa wana nufaika sana na halu hiyo maana walikuwa kazi yao ni kwenda kuuza majungu na umbea kwa jiweUkishazoea kula nyama ya mtu hutoacha utaendelea kula tu!!! Watu hao walitaman siasa za piga, uaa,tesa, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani ziendelee!!
Wehu mtaendelea kuteseka mpaka mwisho wa dahari.Another sukuma gang on the beat. Uzuri mmoja sukuma gang huwa mnajulikana tu kwa nyuzi zenu
Seems deliberately or by ignorance you are loosing touch with reality. It is a sad fact.Sukuma Gang is a persona used by nincompoops to escape reality that they don't want to catch up with.
HiyoMwenye picha ile ya wanachama fulani wakimshambulia kada wa chama fulani kwa mawe pale Dodoma atuwekee hapa tafadhali.
Kuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.
Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.
Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.
View attachment 2542388
100% sahihi.Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Hili ndilo chawa kuu la mwendazake
Aisee nimeshangaa sana aina y watz tulio nao. Kumbe yalikuwa yakiwafurahisha. Si ajabu sisi ni Maskini.Inasikitisha sana
Sio dongo huo ni Utani wa jadi maana Mbowe alishampiga Dongo wakati wa hotuba ya mwanzo kuwa wanataka kumtoa 2025. So alikuwa anajibu😅😅Kawapiga dongo kubwa sana
Mawakala wa ibilisi nyie .Mmeshindwa kwa Jina la Yesu.Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.
CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.
Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Mwanakondoo ameshinda.View attachment 2542409
Kumbe Massoud na Sukuma Geng!!!!
Not really but its a sad fact to see most of the literate guys like you can't get over what is now a histroy. Extreme discordance with the deceased won't make a change in your lives.Seems deliberately or by ignorance you are loosing touch with reality. It is a sad fact.
Sawa kabisa Genge S ndio watu hatari zaidi kuliko hata CCM?Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.
Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.
Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.
View attachment 2542388