Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
"We mubababa" ..aisee tutagombana
Bwashee si ulisema kua Cha mlevi huliwa na mgema.Tajiri gani ambae nimekosa hata 1000 ya kuchangia jf bwashee?
Kabisa bwashee 😆Bwashee si ulisema kua Cha mlevi huliwa na mgema.
Je mshangazi?Kuitwa demu, aisee sipendi mno
Unapenda kuitwaje?Kuitwa demu, aisee sipendi mno
Madam - toka msichana mdogo mpaka mama mtu mzima huwa inatokea randomly watu wananiita hivi. Sipendi, naona nazeeshwa 😩!Habari wadau;;
Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda.
Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa.
Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo...
Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi ijapokuwa halina tafsiri mbaya wala maana mbaya ila hupendi tuu, na ukiulizwa sababu waeza ukawa huna lakini hulipendi tuu.
Binafsi, sipendi mtu aniite MKUU.
Ile, sawa MKUU, Hakuna shida MKUU, habari yako MKUU.
Oyaa yaan hiyo inaniboaga kinyama, ila sijawah kuwakataza wanaoniita hvyo lakin wangejua tuu wangeacha.
Vipi kwa upande wako Mdau...
Bora uniite hata mamdogo au shangazi 😀😀😀Unapenda kuitwaje?
Bora kuliko kuitwa demu, sipendi kabisa. Mtu akitambulisha huyu ni demu wa fulani namshusha viwango kabisaJe mshangazi?
Je chick😅Bora kuliko kuitwa demu, sipendi kabisa. Mtu akitambulisha huyu ni demu wa fulani namshusha viwango kabisa
Kuna ile mtu anakuita FAMILIA.. mpaka unajiuliza wewe ni baba mama na watoto!!!!Habari wadau;;
Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda.
Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa.
Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo...
Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi ijapokuwa halina tafsiri mbaya wala maana mbaya ila hupendi tuu, na ukiulizwa sababu waeza ukawa huna lakini hulipendi tuu.
Binafsi, sipendi mtu aniite MKUU.
Ile, sawa MKUU, Hakuna shida MKUU, habari yako MKUU.
Oyaa yaan hiyo inaniboaga kinyama, ila sijawah kuwakataza wanaoniita hvyo lakin wangejua tuu wangeacha.
Vipi kwa upande wako Mdau...
Inawezekana kwa waliokuzunguka wewe ndio unaonekana DonWana Wana Nita DON .......... since kindergarten namind kwa sababu ilo jina bado Halija reflect uhalisia wa mm kufika level izo za kina Corleone
Ng'ombe Zulu man
Tajiri , ni unafki wa kiwango cha juu mkuu.
Majina ya kitapeli hayo.Tajiri, boss🚮
Wapi Mzee apeche alolo hapaInawezekana kwa waliokuzunguka wewe ndio unaonekana Don
Yani kuitwa madam unaona unazeeshwa ila kujiita Binti wa zamani ni sawa,Madam - toka msichana mdogo mpaka mama mtu mzima huwa inatokea randomly watu wananiita hivi. Sipendi, naona nazeeshwa 😩!