Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Wana Wana Nita DON .......... since kindergarten namind kwa sababu ilo jina bado Halija reflect uhalisia wa mm kufika level izo za kina Corleone
Unabahati sana kama wanao wa kindergarten bado ni wanao mpaka leo. Au umemaliza kindergarten juzi tu ndo maana bado unaitwa hilo jina. Au hiyo ni chai tu, na unatama jina la Don ndo litumike.
All in all, pole sana kwa kumind since kindergarten mpaka leo... ni safari ndefu sana. POLE MKUU.
 
Pole Yako nime ipokea kuhusu kindergarten ondoa shaka nime pita uko mwishoni mwa 90's
JF nime anza tumia since 2010 kujiunga rasmi 2013
Accounts Zina soma 9 digits I want more ndo nikubali kua nime kua DON ....
 
Back
Top Bottom