Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Sawa, nishaandika uzi wa kutafuta friends humu 😔 sikupata wengi walikua wanataka mapenzi tu 😎

mapenzi ni aina ya uraki ulio powa au kuchangamka 😎
 
Unaumia nini sasa mkuu.

Binafsi sipendi mtu aniite kulingana na physically appearance yangu, yaani huwa nachukia sema sina namna ya kuwazuia
 
Narudia tena kuitwa demu maana yake unamiliki mbunye yako binafsi mbunye pesono shortly mbunye owner.
 
Back
Top Bottom