Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,035
- 4,457
Amini tu..Kumekucha 😁😁
Amini tu..Kumekucha 😁😁
Tuwaachie wadekaji ma Bff eheeeNina rafiki yangu wa 10+ years juzi mwezi wa tisa ndio tumehug kwa mara ya kwanza! Na ni kwasababu kuna kitu “kizuri” kilinitokea we cried and hugged. Baada ya hapo tukacheka sana tukagundua ndio mara ya kwanza sisi kuwa feminine.
Kuna wanawake wana feminine energy iko juu sana, They are overly “touchy” they sweet-talk, hawabishani, they don’t talk back. Hawa hata kwenye suala la mahusiano wanatupiga bao 😄 Sio kama sisi hatuchelewi kumuita mtu bro/bamtu 🤣
Hata kwa mpenzi wako 😁Mpenzi limekaa kinafki sana hili jina.
Hilo ndio pekee silipendi.. mengine sina shida nayo😄😄 Inakukata sana ee?
Halafu mtaani napenda sana kuita wadada wanaojipenda madam.Madam - toka msichana mdogo mpaka mama mtu mzima huwa inatokea randomly watu wananiita hivi. Sipendi, naona nazeeshwa 😩!
Bora niwe mshamba ila hilo jina hapanaHata kwa mpenzi wako 😁
Basi tumia kipenzi
Unapenda uitwaje sasa?Bora niwe mshamba ila hilo jina hapana
It surely is!Physical touch is your love language sis .
Kabisa tumekuzwa hivyo, nina mdogo wangu naye yuko kama mimi, mfano akinikuta nimelala kwenye kochi, atakuja hapo hapo kwenye hilo hilo kochi anibane na ajilaze then aniwekee miguu au anikumbatie.Haya mambo yanaanzia mbali sana na probably katika hatua za mwanzo za makuzi.
Mama na baba wote walikua wanatukumbatia, toka nina kumbukumbu za utoto nakumbuka mzee akirudi toka kazini tunaweka foleni ya kumkalia mapajani kuongea naye kuhusu mambo ya siku hiyo. Na mzee wetu alikua anapenda kutubeba na kutushika mikono, so nimezoea na nafikiri chimbuko ni makuzi na ukaribu wa wazazi. Siyo kitu naweza kubadilika!Mimi hadi leo mama yangu akini-hug kuna namna najisikia uncomfortable 🥴 Hakuwahi kunizoesha before, kwasasa na miaka yangu 32 siwezi gafla nikaanza kuzoea.
Sawa, nishaandika uzi wa kutafuta friends humu 😔 sikupata wengi walikua wanataka mapenzi tu 😎Naomba urafiki na wewe.
Hata mimi naona imekaa kiheshima. Mtu kama hanijui jina akiniita Madam haina shida, kuliko akaanza kuniita mara “mrembo, mara Aunt”🤣🤣🤣🤣Madam ni heshima nadhani
Kuna watu wamefunzwa wakafunzika
Mtu unamuona amekuzidi age lakini anakuita madam.
Mfano me kazini male workmates siwezi waita kaka. Nishashindwa… nakuita jina lako
afu wadada nishazoea kuanza na da fulani..
Ndio tajiri yangu nikusaidiaje boss?Kama napata huduma hasa za chakula halafu mdada anahuduma mbovu...huwa nawaita madam kwa mwanaume nawaita sir.
Hii tabia ipo airports pia.....ukiona wahudumu wanakuita Sir ujue kuna tatizo mahali...
Kuna wafanyakazi wanahuduma mbaya saana. They are always bitter...no matter how polite you can be......... wanawake generally hawapendi jina Madam...
Madam Bbade vipi!
Madam, kwani nimekuwa tajiri yako tena sio kakaNdio tajiri yangu nikusaidiaje boss?
Pisi au manzi je?Kuitwa demu, aisee sipendi mno
Labda uzee unaniandama hata hayo naona yamekaa kidada zaidi hayanifai mimiPisi au manzi je?