Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Hivi kumbe limekaa kizee eeh!! Aakhh mimi pia napewa hilo jina mpaka hadi wazee wa kweli wananiita madam.
Madam ni heshima nadhani
Kuna watu wamefunzwa wakafunzika
Mtu unamuona amekuzidi age lakini anakuita madam.

Mfano me kazini male workmates siwezi waita kaka. Nishashindwa… nakuita jina lako
afu wadada nishazoea kuanza na da fulani..
 
Kitu nimeshindwa ni kuita mdada majina romantic sana.. binti kiziwi

Kuna mdada alinikuta eneo la kazi.. tukawa mashost kiasi, babe, mpenzi, babe girl anayatumia sana. akija asbh kila siku hugs, J3 aje akusalimie na busu hata la mkono et wkend ilikuwa ndefu. Nimekumiss rafiki yangu. Hadi nikaanza kumuogopa nikidhani ana michezo ya lesb
Kumbe tu ni kako zake sweet sweet na majina yake, kanyororo kamrembo ka watu..😆😆

Afu Kuna sisi wa my dear/ shoo january hadi dec
 
Nina rafiki yangu wa 10+ years juzi mwezi wa tisa ndio tumehug kwa mara ya kwanza! Na ni kwasababu kuna kitu “kizuri” kilinitokea we cried and hugged. Baada ya hapo tukacheka sana tukagundua ndio mara ya kwanza sisi kuwa feminine.

Kuna wanawake wana feminine energy iko juu sana, They are overly “touchy” they sweet-talk, hawabishani, they don’t talk back. Hawa hata kwenye suala la mahusiano wanatupiga bao 😄 Sio kama sisi hatuchelewi kumuita mtu bro/bamtu 🤣
 
Kuna watu wana feminine energy iko juu sana, They are overly “touchy” they sweet-talk, hawabishani, they don’t talk back. Hawa hata kwenye suala la mahusiano wanatupiga bao 😄 Sio kama sisi hatuchelewi kumuita mtu bro/bamtu 🤣
Huyu ni mimi 😅
Niko so touchy, kama hupendi kushikwa, kuhagiwa, kukisiwa shavuni daaah hatuwezi kuwa marafiki 😅 na siwezi kubishana huwa nalia 🤣 marafiki zangu wote wa karibu hatujawahi kugombana ile ugomvi kabisa maana kabla hatujafika huko tushaombana misamaha.

Kwenye mahusiano napenda mtu anayependa kushikana shikana sanaaaaaaaaaaa 🤣
 
Huyu ni mimi 😅
Niko so touchy, kama hupendi kushikwa, kuhagiwa, kukisiwa shavuni daaah hatuwezi kuwa marafiki 😅 na siwezi kubishana huwa nalia 🤣 marafiki zangu wote wa karibu hatujawahi kugombana ile ugomvi kabisa maana kabla hatujafika huko tushaombana misamaha.

Kwenye mahusiano poa napenda mtu anayependa kushikana shikana sanaaaaaaaaaaa 🤣
Physical touch is your love language sis .

Haya mambo yanaanzia mbali sana na probably katika hatua za mwanzo za makuzi. Mimi hadi leo mama yangu akini-hug kuna namna najisikia uncomfortable 🥴 Hakuwahi kunizoesha before, kwasasa na miaka yangu 32 siwezi gafla nikaanza kuzoea.
 
Back
Top Bottom