Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

Madam - toka msichana mdogo mpaka mama mtu mzima huwa inatokea randomly watu wananiita hivi. Sipendi, naona nazeeshwa 😩!
 
Kuna ile mtu anakuita FAMILIA.. mpaka unajiuliza wewe ni baba mama na watoto!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…