We uliskia wapi? Mwanaume hanaga deadline mamaaKumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu🤔
Bora hata sisi nyie mnaexpire mapema 😂😂😂,Kumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu🤔
Sasa si umesikia hapo kuanzia 36s, shauri yako endelea kuzurura tu mitaani 😂We uliskia wapi? Mwanaume hanaga deadline mamaa
Kwa hiyo umeamua unisimange au?Sasa si umesikia hapo kuanzia 36s, shauri yako endelea kuzurura tu mitaani 😂
Dah tunaexpire mapema mno na siyo fair kabisa! Mi nashangaa naanza kuulizwa home "vipi tunakula lini ubwabwa khaa" 😜Bora hata sisi nyie mnaexpire mapema 😂😂😂,
Vipi lakini ahadi ya kule jukwaani kwetu mkuu au umenipotezea
Huyu mie kabisa yaani wikend ni muda wkuopoa totoz za chuo unapiga threesome yako matata mpaka next wikend tenaSi anakuwa kachelewa kupata stress
Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.
Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.
Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.
All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .
Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
Sikusimangi bana ndiyo ukweli sasa endelea na mizunguko uje uoe ukiwa 40s watoto wakuite babuKw hiyo umeamua unisimange au?
Anavyo viwili,Haww wtt wa Cbe na ifm mnawala sana[emoji23]
Daah sasa mkuu we mwenyewe unazingua tu hata hutaki tuweke Mambo sawa looh🥴🥴🥴🥴Sikusimangi bana ndiyo ukweli sasa endelea na mizunguko uje uoe ukiwa 40s watoto wakuite babu
Madhara ni kama utafika age hio ukiwa hun a pesaSasa si umesikia hapo kuanzia 36s, shauri yako endelea kuzurura tu mitaani 😂
kwani ww tayari ushapita kweny mstar mwekundu! 😌Kumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu🤔