miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Aah weee. Taja ukoo wako kwanzaFAMILIA , UKOO WAKO NA MIMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah weee. Taja ukoo wako kwanzaFAMILIA , UKOO WAKO NA MIMI
masanjaAah weee. Taja ukoo wako kwanza
Ujana unaishi miaka 40 kamiliKwani ujana unaishia miaka mingapi?
Nimekuelewa sana mkuu uyasemayo hata mie niliweka kasumba kama iyo ila nami sijachelewa sanaUjue maisha yana formula ingawa wengine hulipinga hili.
Kijana anayeoa mapema ana fursa nzuri sana ya kuenjoy maisha yake na mkewe uzeeni mwake.
Kama ni kustaafu, atastaafu akiwa kamaliza majukumu yote ya kulea na kusomesha watoto zake.
Let say, kaoa akiwa na umri wa miaka 25-30.
Miaka 30 mbele yake ni ya kumaliza kabisa majukumu ya lazima ya malezi.
Haya mambo ya kusema kujijenga kwanza, huwa ni dhana ya kufikirika zaidi ya uhalisia ambayo mimi imeniathiri pakubwa.
Mawazo ya kimfumo dume hutuchelewesha sana wanaume kujenga familia zetu mapema.
Ni nani aliyesema ukioa mapema mwanamke mwenye mapenzi ya dhati pamwe uchungu wa maisha huwa anachelewesha maendeleo?
Mchango wa mawazo pamoja na nguvu ya mwanamke kwenye maisha ya ndoa ni muhimu sana kwa maendeleo ya familia.
Ninayasema haya kwa uzoefu.
Nilijipoteza makusudi kwa kujichelewesha kuoa nikijidanganya kwa kufikiria hayo wanayoyafikiria vijana wa sasa, ninaona jinsi wanajipoteza.
Nina watoto wa mwisho wanaoniita 'babu' kwa sababu wanalingana makamo na wajukuu wa wadogo zangu.
Furaha niliyonayo ni kwamba hatutaishi peke yetu na mke wangu hapa nyumbani kwa kuwa nitakuwa nina watoto wangu chipukizi watakaonifariji kwa maisha yangu yote.
hahahaahaha lione bichwa lakoAah weee
Baki na wasukuma wenzio[emoji23]
ngoja nikutaftie mmojaAah weee
Baki na wasukuma wenzio[emoji23]
😂😂😂Si anakuwa kachelewa kupata stress
Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.
Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.
Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.
All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .
Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
huyo ntu si nzuri anataka ufe ale ubwabwa!!! Km hutajali sana njoo nikuunganishe na kaka angu!!Dah tunaexpire mapema mno na siyo fair kabisa! Mi nashangaa naanza kuulizwa home "vipi tunakula lini ubwabwa khaa" 😜
Ahadi gani tena na huo ugumu mkuu?🤔
Wow tayari nishafika wifi😜 kaka yupo humu?huyo ntu si nzuri anataka ufe ale ubwabwa!!! Km hutajali sana njoo nikuunganishe na kaka angu!!
Yumo wifi angu!! Lkn mbali kidogo na Bongo land....si unajua Dunia imekuwa kijiji?Wow tayari nishafika wifi😜 kaka yupo humu?
Ooh haya wifi msalimieeYumo wifi angu!! Lkn mbali kidogo na Bongo land....si unajua Dunia imekuwa kijiji?
Ila Covid inaleta umbali tu wifi angu..
ANAMNJUNGA VIPI KAMA UPO MBALI JMN..🙃Yumo wifi angu!! Lkn mbali kidogo na Bongo land....si unajua Dunia imekuwa kijiji?
Ila Covid inaleta umbali tu wifi angu..