Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Nimekuelewa mkuu.Madhara ni kama utafika age hio ukiwa hun a pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mkuu.Madhara ni kama utafika age hio ukiwa hun a pesa
hakika.Hakuna madhara, ila kuna faida zaidi
Ujue maisha yana formula ingawa wengine hulipinga hili.Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa.
Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
Heheheh bwana Yesu asifiweAisee on my way coming to pm mkuu! Hadi kinanda church utakua husband material 😍
mkuu umefanya nicheke kweli ati nini, weweSi anakuwa kachelewa kupata stress
Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.
Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.
Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.
All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .
Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
pewa kahawa bill kwangu, hata miaka 80 bado unaoa, kubuka defence minister kule urambo, kaoa kabinti ka 25, na yeye ni 75, chezea madume weweWe uliskia wapi? Mwanaume hanaga deadline mamaa
kapata mke naona mkuu, vipi lakiniHeheheh bwana Yesu asifiwe
Freshi mzeekapata mke naona mkuu, vipi lakini
unakuja kustaaf mwanao ndio kwanza yuko Fom two B
Usidanganywe, Wanaume na sisi tunaexpire mapema, mwanaume ukifika miaka 35 hujaoa ni vigumu binti wa miaka 25 shuka chini kukupenda kama ulivyo, wanaume tukifika miaka 35 ni mwanzo wa kupendewa hela na mabinti bcoz twaonekana vibabu financial services
Hii ni post bora ya mwaka 2021
Hii post naiwekea lamination.
Mtoa post ni rafiki yangu wa kwanza
Aaah unakosea banaa,mwanaume hana deadline hata kidogo sema tu ni ile heshima ya yeye kuna mume/na ndoa.....sio kama mwanamke huwa wanachacha wakivuka certain age🤣🤣🤣....sijui ushanfahamu atiii.Kumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu🤔
kasoro tu ,hatuna expire dateKumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu🤔
umri wangu huu,dah kumbe bado nipo ndani ya muda...hadi mwakaniiiiiUmri sahihi wa mwanaume kuoa ni 27-38.Hii imethibitishwa kitaalamu kabisa.Umri huu anakuwa amekomaa akili ipasavyo na kuuacha ujana wote.Ni tofauti na akiwahi lazima ndoa itikisike,japo unaweza wahi na ndoa ikadumu.
The funniest part is.. baba yangu ananambia hv mamii kuna wanaume siku hizi[emoji23] naomba uangalie maisha yako kwanza. Kijana anakuja na suruali matakoni halaf useme ndo mume? Akanambia kwanza kuolewa mateso tu... hebu tufocus na hela[emoji23][emoji23] suala hili kwa kweli kwetu hakun kusakamana. Aliyeolewa kaolewa. Ambaye bado basi bado. Mbali na kwamba having ur own family is a blessing lakini nyumbani nako patamuu... maybe kma kwenu kuwe na tatizo or else unaozea hapoDah mimi nakaribia 30 ila sina hata mtoto wa kusingiziwa! Unanishauri vipi[emoji848] niachane na uzazi nishachelewa ama?
njoo kwangu tuunganishe KOOThe funniest part is.. baba yangu ananambia hv mamii kuna wanaume siku hizi[emoji23] naomba uangalie maisha yako kwanza. Kijana anakuja na suruali matakoni halaf useme ndo mume? Akanambia kwanza kuolewa mateso tu... hebu tufocus na hela[emoji23][emoji23] suala hili kwa kweli kwetu hakun kusakamana. Aliyeolewa kaolewa. Ambaye bado basi bado. Mbali na kwamba having ur own family is a blessing lakini nyumbani nako patamuu... maybe kma kwenu kuwe na tatizo or else unaozea hapo
[emoji23][emoji23] koo ya wapi kwanza. Tuanzie hapo[emoji848]njoo kwangu tuunganishe KOO
FAMILIA , UKOO WAKO NA MIMI[emoji23][emoji23] koo ya wapi kwanza. Tuanzie hapo[emoji848]
Deadline ni ukosefu wa pesa kwa wanaume wa mijini na wale wa kijijini deadline ni ukosefu wa nguvu za kiume na kuwa na watoto wa kiume ambao wakioa wanawachukua mama zao na kuishi nao mjini na kuwaacha baba zao kijijini wanapigika.Kumbe wanaume na nyie mna deadline? Nikajua ni sisi wadada tu[emoji848]