Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Hamnaga kitu kama hicho mwanaume kuoa hana muda maalumu kama utazingatia vitu hivyi itakupunguzia kasi ya kuzeeka

1.mazoezi
2.kuachana na matumizi ya vilevi
3.kula lishe bora
4.kupunguza vitu vya kemikali na madawa
5.kunywa maji mengi
6.kufanya kazi zenya kutoa jasho kwa wingi
7.kujisafisha kiroho(kuwa mtu wa dini)
8.jiweke stable kiuchumi
9.hakikisha unakuwa na furaha pia jiepushe na toxic people ambao wataweza kusababishia vinyongo na msongo wa mawazo

Amini ukifata hayo mambo unaweza gonga 90 years na bado uko stable kama raisi wa urusi kwa hiyo hata ukioa na miaka 40 haina shida imradi unazalisha
 
Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa

Hebu leo tuweze kushare kuna madhara Gani ya mwanaume kuchelewa kuoa
Mada yako ni ya msingi sana, ila imeingiliwa na watoto ambao kwa sasa wapo likizo kwa wazazi wao, nitarudi kuchangia shule zikifunguliwa... ngoja nikawatafutie ada kwanza.
 
Umri sahihi wa mwanaume kuoa ni 27-38.Hii imethibitishwa kitaalamu kabisa.Umri huu anakuwa amekomaa akili ipasavyo na kuuacha ujana wote.Ni tofauti na akiwahi lazima ndoa itikisike,japo unaweza wahi na ndoa ikadumu.
kwa mtizamo wangu muda sahihi ni pale unapokuwa na uhakika wa milo ukutoshayo na mahitaji ya matibabu kwako na kwa watakaongezeka kwako
 
Si anakuwa kachelewa kupata stress

Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.

Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.

Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.

All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .

Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
Ahahhgahhha kimoja j2 kimoja jmosi duuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom