Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Hamnaga kitu kama hicho mwanaume kuoa hana muda maalumu kama utazingatia vitu hivyi itakupunguzia kasi ya kuzeeka

1.mazoezi
2.kuachana na matumizi ya vilevi
3.kula lishe bora
4.kupunguza vitu vya kemikali na madawa
5.kunywa maji mengi
6.kufanya kazi zenya kutoa jasho kwa wingi
7.kujisafisha kiroho(kuwa mtu wa dini)
8.jiweke stable kiuchumi
9.hakikisha unakuwa na furaha pia jiepushe na toxic people ambao wataweza kusababishia vinyongo na msongo wa mawazo

Amini ukifata hayo mambo unaweza gonga 90 years na bado uko stable kama raisi wa urusi kwa hiyo hata ukioa na miaka 40 haina shida imradi unazalisha
 
Mada yako ni ya msingi sana, ila imeingiliwa na watoto ambao kwa sasa wapo likizo kwa wazazi wao, nitarudi kuchangia shule zikifunguliwa... ngoja nikawatafutie ada kwanza.
 
Umri sahihi wa mwanaume kuoa ni 27-38.Hii imethibitishwa kitaalamu kabisa.Umri huu anakuwa amekomaa akili ipasavyo na kuuacha ujana wote.Ni tofauti na akiwahi lazima ndoa itikisike,japo unaweza wahi na ndoa ikadumu.
kwa mtizamo wangu muda sahihi ni pale unapokuwa na uhakika wa milo ukutoshayo na mahitaji ya matibabu kwako na kwa watakaongezeka kwako
 
Ahahhgahhha kimoja j2 kimoja jmosi duuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…