Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Mapokeo uliyoambiwa na nani??
 
Asee hii ishawahi nitokea, na nilichelewa sana kustuka, ila ile kuja kuwasha taa nilikuwa nimechafuka damu hadi kwenye ndevu. Lakini sikupata madhara yoyote ya kimwili.
Mkuu ninawambia watu humu wanasema ile kitu ni lazima usikie harufu wakati kuna wengine damu zao ni safi tu hata harufu amna
 
Dah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ushuhuda wakwanza kusikia aliyelamba hedhi amepona, mmh sio bure itakuwa Una nguvu za ziada, anyway labda kweli
 
Huwa inauwa taratibu yaan uumwi, wala nini, mwili unanyongonyea mdogo mdogo yaan kumbe ndo unaenda kata Moto ivooo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna yenywe Tu tosha ni sumu moja hatari jamaa tayari ana expire date akae hapo atulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yeah kweli mkuu tumbo lilivurugika sana baada ya pale

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna yenywe Tu tosha ni sumu moja hatari jamaa tayari ana expire date akae hapo atulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hahahahaaaa itabid alete feed back baada ya wiki uzoefu aliopitia baada ya kugida damu ya hedhi. Wakati inamwagika sijui alikuwa anameza huku anasikia ladha gan/? Nimejiuliza vingi sana. Damu ina harufu ina maana hakuisikia? Wakati ananyonya huko chini alikuwa anasikia kimiminika kama juice na anameza tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna yenywe Tu tosha ni sumu moja hatari jamaa tayari ana expire date akae hapo atulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu mzee issue kama hiyo unacheka ina maana umefurahi mimi kufa au sio nilitegemea labda utakuja kunishauri hatua za kuchukua kuepukana na madhara yoyote yatakayoweza kujitokeza ila wewe umekuja hapa kufurahia kifo changu but sawa nitakufa kama ni hivo ambavyo Mungu alipanga kifo changu kiwe
 
Huwa inauwa taratibu yaan uumwi, wala nini, mwili unanyongonyea mdogo mdogo yaan kumbe ndo unaenda kata Moto ivooo.
Ni matukio kadhaa nimeskia mitaan mababa wa familia wamefarik hku ikisadikika wamewekewa wamenyweshwa damu hyo na wake zao.
Na nikwel waliugua na miili kukondeana.. Mtu anapima ukimwi hana wala ugonjwa wowote hana.
 
  • Nenda kamwone daktal..
  • Pia fanya kama nivokuandikia hko mwanzo..
  • Acha hofu ya kufa, utakufa kwel au kukonda. Ahsubh tafuna punje tano za vitunguu saumu meza kwa maji vuguvugu au maziwa, pia mda wa kulala hvohvo per one week.
~ Huua fangas na bakiteria.
~ huongeza ngvu za kiume na mwil kiujumla(damu hukimbia kila kona ya mwil) na hutibu magonjwa meng
~ maziwa huondoa sumu mwiln.

AU
- saga mkaa unga wake koroga kwa maji robo rita kunywa mara 2 per day. Fanya hvo per mwez.
~ huondoa sumu na takataka zote mwilin za vidonge.
~ Hutibu madonda ya tumbo na tumbo likiuma tafuna mkaa litapoa.
MUNGU AKUJARIE kaz kwako sasa
 
Endelea kunywa, umuridhishe mupenzi wako
 
Ahsante mkuu nitajitahidi kufuata ushauri wako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikuwa anaukwiru Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…