Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Cha kufanya hamna hapo ni kusubiria malaika israel aje kukusabahi tu ndio umuombe ushauri,hiyo ni kwa mujibu wa mapokeo niliyoambiwa,ila kama kuna antidote watakuja wajuvi zaidi,heri uweke namba ya michango kabisa ili wadau wasipate shida,ukitoboa we ndio utakua sample space
Mapokeo uliyoambiwa na nani??
 
Asee hii ishawahi nitokea, na nilichelewa sana kustuka, ila ile kuja kuwasha taa nilikuwa nimechafuka damu hadi kwenye ndevu. Lakini sikupata madhara yoyote ya kimwili.
Mkuu ninawambia watu humu wanasema ile kitu ni lazima usikie harufu wakati kuna wengine damu zao ni safi tu hata harufu amna
 
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.

So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.

Nipo nasoma comment.
Dah 😀😀😀😀
 
Wasikutishe home boy! hapo cha msingi zingatia sana maji safi na maziwa ya kutosha 🙌 yaan kunywa sana maji mengi bila kusahau maziwa asubuh na jioni mda wa kulala kwa mda wa wiki moja tu 🙏, mi ilishawahi kunitokea kitambo sana nakumbuka nipo form 4 mwaka 2010 kuna manzi mmoja nae ilikuwa hivyo hivyo hakujua kama anaingia period mzee nikazama uvinza nilikunywa vikombe vingi sana vya 🩸 baadae ndio manzi anakuja kunisanua daaah achaa nilipagawa kinoma, baadae ndio nikapiga hizo kitu maji mengi plus maziwa 🙏.
Ushuhuda wakwanza kusikia aliyelamba hedhi amepona, mmh sio bure itakuwa Una nguvu za ziada, anyway labda kweli
 
Kwangu mim hua naskia tu vijistory kua inzi hatui kwenye ile damu ni hatari.. Pia inaua binadam japo cna uthibitisho.

Fanya hv kama unahs ni sumu ili kujikinga..
~Kunywa maziwa kila sku angalau one week.
~tafuna kipande cha mkaa kila cku au unga wa mkaa na maj vuguvug robo lita kunywa week.

~mwisho tafuna kitunguu saumu mdomon na umeze, hiyo inaua fangas, kwa wanaopenda zama chumvin mpende tumia. Bila ivo mdomo mwekundu
Huwa inauwa taratibu yaan uumwi, wala nini, mwili unanyongonyea mdogo mdogo yaan kumbe ndo unaenda kata Moto ivooo.
 
Navojua mimi ni ile damu ya mwishon ya hedhi ikichanganywa na mavi ya mwisho yale yanayobaki unapomaliza kujisaidia hapo hata uende hospitali gani huponi. Ila damu ya hedhi peke yake sidhan kama inaweza kuua zaidi itakuletea mvurugiko wa tumbo maana ni uchafu pia inatia kinyaa.
😂😂😂 Hamna yenywe Tu tosha ni sumu moja hatari jamaa tayari ana expire date akae hapo atulie 😂😂😂
 
Yeah kweli mkuu tumbo lilivurugika sana baada ya pale

😂😂😂 Hamna yenywe Tu tosha ni sumu moja hatari jamaa tayari ana expire date akae hapo atulie 😂😂😂
hahahahaaaa itabid alete feed back baada ya wiki uzoefu aliopitia baada ya kugida damu ya hedhi. Wakati inamwagika sijui alikuwa anameza huku anasikia ladha gan/? Nimejiuliza vingi sana. Damu ina harufu ina maana hakuisikia? Wakati ananyonya huko chini alikuwa anasikia kimiminika kama juice na anameza tu.
 
Halafu mzee issue kama hiyo unacheka ina maana umefurahi mimi kufa au sio nilitegemea labda utakuja kunishauri hatua za kuchukua kuepukana na madhara yoyote yatakayoweza kujitokeza ila wewe umekuja hapa kufurahia kifo changu but sawa nitakufa kama ni hivo ambavyo Mungu alipanga kifo changu kiwe
 
Huwa inauwa taratibu yaan uumwi, wala nini, mwili unanyongonyea mdogo mdogo yaan kumbe ndo unaenda kata Moto ivooo.
Ni matukio kadhaa nimeskia mitaan mababa wa familia wamefarik hku ikisadikika wamewekewa wamenyweshwa damu hyo na wake zao.
Na nikwel waliugua na miili kukondeana.. Mtu anapima ukimwi hana wala ugonjwa wowote hana.
 
Halafu mzee issue kama hiyo unacheka ina maana umefurahi mimi kufa au sio nilitegemea labda utakuja kunishauri hatua za kuchukua kuepukana na madhara yoyote yatakayoweza kujitokeza ila wewe umekuja hapa kufurahia kifo changu but sawa nitakufa kama ni hivo ambavyo Mungu alipanga kifo changu kiwe
  • Nenda kamwone daktal..
  • Pia fanya kama nivokuandikia hko mwanzo..
  • Acha hofu ya kufa, utakufa kwel au kukonda. Ahsubh tafuna punje tano za vitunguu saumu meza kwa maji vuguvugu au maziwa, pia mda wa kulala hvohvo per one week.
~ Huua fangas na bakiteria.
~ huongeza ngvu za kiume na mwil kiujumla(damu hukimbia kila kona ya mwil) na hutibu magonjwa meng
~ maziwa huondoa sumu mwiln.

AU
- saga mkaa unga wake koroga kwa maji robo rita kunywa mara 2 per day. Fanya hvo per mwez.
~ huondoa sumu na takataka zote mwilin za vidonge.
~ Hutibu madonda ya tumbo na tumbo likiuma tafuna mkaa litapoa.
MUNGU AKUJARIE kaz kwako sasa
 
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.

So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.

Nipo nasoma comment.
Endelea kunywa, umuridhishe mupenzi wako
 
  • Nenda kamwone daktal..
  • Pia fanya kama nivokuandikia hko mwanzo..
  • Acha hofu ya kufa, utakufa kwel au kukonda. Ahsubh tafuna punje tano za vitunguu saumu meza kwa maji vuguvugu au maziwa, pia mda wa kulala hvohvo per one week.
~ Huua fangas na bakiteria.
~ huongeza ngvu za kiume na mwil kiujumla(damu hukimbia kila kona ya mwil) na hutibu magonjwa meng
~ maziwa huondoa sumu mwiln.

AU
- saga mkaa unga wake koroga kwa maji robo rita kunywa mara 2 per day. Fanya hvo per mwez.
~ huondoa sumu na takataka zote mwilin za vidonge.
~ Hutibu madonda ya tumbo na tumbo likiuma tafuna mkaa litapoa.
MUNGU AKUJARIE kaz kwako sasa
Ahsante mkuu nitajitahidi kufuata ushauri wako
 
hahahahaaaa itabid alete feed back baada ya wiki uzoefu aliopitia baada ya kugida damu ya hedhi. Wakati inamwagika sijui alikuwa anameza huku anasikia ladha gan/? Nimejiuliza vingi sana. Damu ina harufu ina maana hakuisikia? Wakati ananyonya huko chini alikuwa anasikia kimiminika kama juice na anameza tu.
😂😂😂 Alikuwa anaukwiru Sana
 
Back
Top Bottom