Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

Hakuna madhara kabisa na kama unavitu vya kukushughulisha kama kazi basi unaweza toboa hata miaka kadhaa
 
sina uhakika hayo majibu, si mbadala wa majibu ya kitaaluma, nime gugu nikapata hivyo;

What Happens When You Stop Having Sex
  1. You Might Feel More Anxious.
  2. Your Heart May Not Work as Well.๐Ÿ˜•
  3. You Might Get Less Exercise.
  4. You May Lose Your Keys More Often ๐Ÿ˜€
  5. Your Immune System May Get Weaker. ...(eh CD4 zinashuka?)
  6. Your Relationship Changes. ๐Ÿ˜•
  7. Your Prostate May Be Less Healthy. (Tezi dume ๐Ÿ˜Ž)
  8. You Might Sleep Less.
 
Kama hujajiandaa kiakili lazima ujikane nafasi kama Hamas.
 
Kwa experience yangu ndogo, nadhani madhara ni kubadilika badilika kwa moods hovyo na kupata hasira za kila mara kiasi cha kufanya overeaction.

Pia kuna upweke mzito na kama utajilinganisha na watu wengine ama la utapitia situations ngumu za kimaisha. Kupata depression ni rahisi

Zaidi ya hayo sidhani kama kuna athari za kiafya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ