Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

Hakuna madhara yoyote Tena unajikuta unaweka umuhimu sana kwenye mambo yako unajijali muda wote unajiwazia wewe
Labda kama huwez uvumilivu
Mbaya ni pale utapoingia tena kwenye mahusiano serious. Unaanza kuona kama huwezi toa muda na attention yako tena kwa sababu umezoea kujipa mwenyewe.
Ni kama unakuwa selfish sana na inahitaji mtu mvumilivu kukuelewa

Japo binafsi naona ni maisha mazuri zaidi maana kuwategemea watu kihisia na kiakili ndio hufanya watu wajiue mtu akiondoka.
 
sasa which is which? kuathirika nmeshaanza maana mtu akiniambia ananipenda naona anaongea upuuzi
 
Inawezekana mimi nimewahi kukaa mwaka mzima ila sio kwamba niliamua tu nilipigwa tukio zito πŸ˜€tatizo litakuja ukiamua kuja kwenye mahusiano Tena utaona kama kila mtu anakudanganya tu unaweza jikuta unarudi tena kuna single πŸ˜…
 
Mahusiano Siyo lazima, unaweza jiuza siku mojamoja na ukadumu kuwa single muda mrefu tuu.
 
Utakuwa kwenye list ya WHO..AFYA YA AKILIπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…