Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Mbaya ni pale utapoingia tena kwenye mahusiano serious. Unaanza kuona kama huwezi toa muda na attention yako tena kwa sababu umezoea kujipa mwenyewe.Hakuna madhara yoyote Tena unajikuta unaweka umuhimu sana kwenye mambo yako unajijali muda wote unajiwazia wewe
Labda kama huwez uvumilivu
Ni kama unakuwa selfish sana na inahitaji mtu mvumilivu kukuelewa
Japo binafsi naona ni maisha mazuri zaidi maana kuwategemea watu kihisia na kiakili ndio hufanya watu wajiue mtu akiondoka.