Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Kwa nini ukae muda mrefu kama uwezekano wa kupata papuchi upo jamaa yangu?

Ujue siku ya mwisho utakuja kuchomwa kwa dhambi ma makosa ya kujitakia bure?
 
Hiyo sehemu yenye Maelezo kuhusu wanaume napingana na wewe Mkuu.
Huu ni mwaka wa nane kwangu sijakutana kimwili na mwanamke laakini nipo fiti kila idara .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ni makubwa...kwanza mtachelewa kujua game pili siku mkipiga game mnaweza kuumizana kwa mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…