Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

Kumbuka drivetrain speed ina influence engine speed. Modern cars ukiwa kwenye gear na unashuka mlima ECU inakata fuel automatically kwahiyo hata kama RPM ziko juu mafuta hayatumiki.
Ukiwa unashuka mlima na ukaweka D si RPM sawa na ukiweka N, N ni kwamba engine inaenda kwenye Idle kabisa, kuna tofauti kubwa sana; na ukisema inakata mafuta maana yake inazima? Si kweli huwa haizimi, au unamaanisha inaounguza RPM? Sasa ikipunguza RPM na ikiwa iko connected na gear box (ipo kwenye D) maana yake engine ina act kama brake na kupunguza speed, solution ni kuweka N ili upate maximum speed with minimum RPM (idle)
 
Mkuu, ECU inakata input ya mafuta kwenye engine lakini engine inaendelea kuzungushwa na drive train.

 
Hata kama mafuta yana kata, bado engine ina act kama brake na itapunguza distance utakayo-cover kwa momentum ile ile iliyo nayo gari
Ndio, hili ni jambo zuri. Unapunguza kuisha kwa breki. Kama unataka kushuka kwa spidi mlimani, hukutakiwa kuweka neutral in the first place.

Ukiweka neutral gari inakuwa unbalanced/unstable na kuwa kama jiwe linaloroll mlimani na ni rahisi kupoteza control hasa ukitakiwa kuswerve.

Kama unataka kushuka mlima kwa spidi kanyaga mafuta na acha gari ichague gia kubwa zaidi ishuke nayo. Kama unataka kushuka mdogo mdogo achia mafuta na acha gari ifanye engine braking na kupunguza kuisha kwa breki zako.
 
Inasaidia vipi breki kutokuisha wakati sina intention ya kukanyaga breki in the first place, lengo langu ni ku-cover maximum distance with the available momentum, sasa kwanini nikanyage breki tena? Kama ni kukanyaga breki basi itakuwa kama nimekutana na gari mbele inwhich case hata ungekuwa kwenye drive gear bado utakanyaga brake.
 
Inasaidia vipi breki kutokuisha wakati sina intention ya kukanyaga breki in the first place, lengo langu ni ku-cover maximum distance with the available momentum, sasa kwanini nikanyage breki tena?
Kwa lengo hilo basi ni vema usiweke neutral bali ukanyage mafuta.
 
Kwanini nikanyage mafuta wakati lengo langu ni kuokoa mafuta kwa kutumia available potential energy ya slope iliyopo badala ya kuunguza mafuta yangu unnecessarily?
Moja kwasababu ni unsafe kuweka neutral. Ukiwa kwenye neutral hauna full control ya gari, kwamba huwezi kuaccelerate ghafla kwenye emergency.

Pili ni kwamba practically ukicoast kwenye neutral unatumia mafuta (to maintain idld rev) lakini ukiiacha ishuke na high gear bila kukanyaga mafuta fuel cut-off inasababisha usile mafuta kabisa. Yes there is a speed penalty to that.

Tatu, you can mess things up ukiwa unarudi kwenye D, kwa mfano ukapitiliza mpaka 2 na kufuck up transmission.

Unless unataka gari iaccelerate like crazy, na ishuke mlima kama haina dereva, which is unsafe, hakuna haja wala faida ya kuweka neutral.
 
"Wear and tear". Haikupunguzii chochote kwa sababu ukiwa kwny mteremko tayari engine inakuwa inajiadjust yenyewe, so wewe kuweka neutral ni kuichosha gearbox yako.
Kumbuka kwa magari ya auto unatakiwa kubadili gear ukiwa umekanyaga break, najua gear zinai gia hata ukiwa kwny mwendo lkn sio sababu ya ww kufanya hivyo
 
1.)Hiyo risk unayoiongelea kwa kushindwa ku-accelerate practically haipo kwenye slopes, if any danger exists at all kwenye slope, basi ni itatokana na kushindwa ku-brake suddenly na wala sio ku-accelerate kwa sababu gravity is already working in our favor.

2.) Kuhusu kwamba ukiweka neutral bado unakula mafuta kwenye idle compared na ukiweka D na ECU inakata mafuta hivyo ulaji wa mafuta ni zero; ni hivi, utakapoweka neutral utakula mafuta ya 650 RPM lakini utapata speeds equivalent to an engine reving at up to 3500 RPM or more, thats around seven folds, i am willing to trade 1 for 7 any time of the day!

3.) Kuhusu hiyo kurudisha gear vibaya na kumess things up is still very theoretical, in practice modern gear shift layouts zimekuwa designed kwamba ni vigumu sana lets say kuweka P accidentally, hii ni kutokana na zile.kona kona, pia unaporudisha D at the wrong RPM zile sensors zikisaidiana na onboard computer na 'Torque converter' zita even out hizo driving errors kuepusha any harm to the transmission.
 
Point ya kwanza uliyoicrash ifikirie tena. You are not in control of the vehicle while in neutral. Your engine can accelerate you much faster in an emergency on a slope than just gravity alone and you never know what kind of danger you will get in and what you would need to do to react.

And for that reason, it is illegal in some countries with strict traffic safety to coast in neutral under any circumstances.

Let that sink in.


Pia, hapo kwenye point ya pili kuna tradeoff. Either upate uncontrolled acceleration na mafuta yaliwe kidogo au upate controlled acceleration na mafuta yasiliwe kabisa. Pia practically, ukishuka na gear gari haitalose spidi kwa kiasi kikubwa sana (unless kama uko spidi kali sana where it will engine brake) kwasababu itachagua highest gear available na kushuka nayo hiyo. This is safer kuliko kuliacha gari lijishukie kama jiwe.
 
Vema
Na kwa kuongezea tu unapoweka neutral gari ikiwa mwenye mwendo unahatarisha uhai wa engine,
Maana gari ikiwa neutral oil haipandi kama inavyotakiwa hivyo kusababisha msuguano wa vipuli,
Hata mafuta utakayo save yanaweza kuwa ya mia tatu au ikawa ya tshs 5,
Hapo ni sawa na wanaofungua vioo kukwepa kuwasha ac kwa kisingizio cha Ku save mafuta kwenye safari ndefu ni kujidanganya na kuongeza cost
 
Nafikiri hujamuelewa huyo mkuu. Nadhani anasema hivi; akiwa anajua kuwa sensor nyingi zinakuwa powered na 12VDC kwenye gari, sensor zinazoamuru mafuta yaende kiasi gani na wakati gani ndo kama hizo alizokutajia, Mathani, kwa gari zenye Turbocharger, ukimaliza kukanyaga accelerator yako mpaka mwisho, kuna sensor itasema Turbo fungua kuongeza hewa safi kwenye mchanganyiko wa mafuta na hewa. Kuna sensor itaiambia ECU, torque zaidi inahitajika hapa, kisha ecu ataamuru wanaohusika kuongeza mafuta ili kupata hiyo torque n.k

Alikuwa na maana ama kama hiyo au ndo hiyo kuhusu hizo sensor.
 
Kuna jamaa alitupia neutral katika mteremko gari ikazima na kupelekea kubamiza mti. Wanashauri pia km silencer ya gari haipo poa usithubutu.
 
Gari umeshaambiwa inakula lt1 kwa km10 mfano sasa we ukiweka neitral au usiweke consuption iko palepale.kuna watu wanaamin kwamba AC inakula mafuta.AC inawezekana inakula mafuta lakini si zaidi ya kuendesha gari vioo viko wazi!vioo vikiwa wazi upepo unakusukuma nyuma na we unaongeza mafuta kwenda mbele hapo ulaji utaongezeka sana tu
 
Ila ukisoma manual book zao watengenezaji wa hayo magari na vyombo vingine vya moto, hawashauri kuweka free kwenye miteremko, bali namba moja.
 
Sio salama kabisa!tena kama Gari INA mzigo ndio mbaya zaidi Ki ujumla ni hatari,kwani Gari itakua nyepesi hiyo kukosa balance
 
haina shida ila sasa ukiweka uwe na kumbukumbu nzuri usije ukajisahau ukapeleka kwenye "P" mzee baba yatakua mengine
Hapa ndo mnanichanganya kabisa, hiv unatokaje N unavuka R mpaka P??

Hata kwa shift layout ambayo ni flat?

Nadhan ni uzembe wa kiwango cha degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…