1.)Hiyo risk unayoiongelea kwa kushindwa ku-accelerate practically haipo kwenye slopes, if any danger exists at all kwenye slope, basi ni itatokana na kushindwa ku-brake suddenly na wala sio ku-accelerate kwa sababu gravity is already working in our favor.
2.) Kuhusu kwamba ukiweka neutral bado unakula mafuta kwenye idle compared na ukiweka D na ECU inakata mafuta hivyo ulaji wa mafuta ni zero; ni hivi, utakapoweka neutral utakula mafuta ya 650 RPM lakini utapata speeds equivalent to an engine reving at up to 3500 RPM or more, thats around seven folds, i am willing to trade 1 for 7 any time of the day!
3.) Kuhusu hiyo kurudisha gear vibaya na kumess things up is still very theoretical, in practice modern gear shift layouts zimekuwa designed kwamba ni vigumu sana lets say kuweka P accidentally, hii ni kutokana na zile.kona kona, pia unaporudisha D at the wrong RPM zile sensors zikisaidiana na onboard computer na 'Torque converter' zita even out hizo driving errors kuepusha any harm to the transmission.