Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.
Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi anayoweza kufikia?