Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

Kuoa au kuolewa na kujenga familia iliyo bora ni ndoto ya kila mtu mwenye akili timamu bila kujali ww ni mwanamke au mwanaume.
Ndoa bado ni kitu chenye thamani dunia japo kuna juhudi kubwa sana ya kuishusha thamani yake.
 
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.

Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.

Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi anayoweza kufikia?

View attachment 3161915
Kuolewa ndio final hope la kuwatoa kimaisha wanawake hapa bongo.
Yaani alale aamke apewe hela ya matumizi (kula bure), kulala bure na mwisho wa siku aseme mgawane mali baada ya kuachana

Wanaume ni mwanzo mwisho mchaka mchaka....
 
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.

Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.

Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi anayoweza kufikia?

View attachment 3161915
Wanawake walio wengi hata wasome vipi, akili zao ni fupi mno, wanafikiri kuolewa ndo kilele cha mafanikio kumbe ndo mwanzo wa maisha yanaana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya.

Kuna mtu alisema, mwanaume mmoja mlevi ana akili kuliko wanawake watatu wenye PhD's, akili zao ni za kipumbavu sana.
 
Kuoa au kuolewa na kujenga familia iliyo bora ni ndoto ya kila mtu mwenye akili timamu bila kujali ww ni mwanamke au mwanaume.
Ndoa bado ni kitu chenye thamani dunia japo kuna juhudi kubwa sana ya kuishusha thamani yake.
Wapi uliona wanaume wamejazana kwa manabii ili kuombewa wapate mke?
 
haya mambo sasa hivi ndio yanawatesa marekani,south Africa, Jamaica etc nchi zimejaa single mothers tu,,,kumkuta mtoto wa miaka 18 kujiuza online,,wanaume kuuza/kutumia madawa,,ushoga,, ni kawaida na asilimia kubwa shule kichwan hamna,, wanakuaga waharibifu etc hatar sana, kama marekani sasa watu wake wameamua wakasake watu wa kuwaoa/kuoa nchi nyingine ni huzuni,,,,,,
Hii mada naona wanaipush sana ma feminists ila marekani kuleta ufeminists na upuuz mwingine walaaniwe sana,,,
 
Sasa majukumu ya nn😂
Majukumu binafsi, ndio maana umaskini upo hadi kwa wasio na watoto, yaani najijukumia mwenyewe 😂 na harakati za mtaani hapa na pale deals ndogo ndogo na refreshes hapo hapo nitafute na partner
 
Back
Top Bottom