Daaah aisee ila mada zako Yoda huwa zinanifurahisha sanaHuwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.
Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi anayoweza kufikia?
View attachment 3161915
🤣Hakuna shidaMleta mada ,binti yako apate utajiri kama wa Oprah, ila anazeeka bila kuolewa wala mtoto, utajisikiaje?
Kwa sura ganiii
Upendeleo wa kisheria ni moja ya sababu zinazofanya wanaume wa kizazi cha sasa wasite kuoa.Duniani kote, mafanikio makubwa kuliko yote kwa mwanamke ni kuolewa na kuwa na familia stable.
Lakini, in case familia ikiwa unstable sheria za ndoa za dunia zinampa upendeleo mkubwa mwanamke.
Summarily; mwanamke ni mnufaika mkubwa wa ndoa.
Hakuna sababu ya kufanya biashara ya hasara.Upendeleo wa kisheria ni moja ya sababu zinazofanya wanaume wa kizazi cha sasa wasite kuoa.
siku hizi wameleta subscription model🤣
Fake news 😆😆
Muulize dada yako mafanikio yake yalikuwa nini? Au kuzaa zaa na akina Rama boy mitaa ya kanisani?Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.
Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi anayoweza kufikia?
View attachment 3161915
Kama bei yenyewe ndio hizi bora kujichukulia hatua mkononisiku hizi wameleta subscription model🤣