Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

Sasa mnataka tusiolewe tufanye zinaa.. kuwa na familia yako watoto wanaomba baba awafundishe home work ni raha
 
Majukumu binafsi, ndio maana umaskini upo hadi kwa wasio na watoto, yaani najijukumia mwenyewe 😂 na harakati za mtaani hapa na pale deals ndogo ndogo na refreshes hapo hapo nitafute na partner
😂🤣🤣huna partner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…