Nawaza tu hivi Kuna umuhimu gani kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zilizopo mjini kutumia magari ya m,amia ya mamilioni,
Maeneo Mengi ya mjini miundo mbinu ni rafiki kwann mkuu wa wilaya na mkurugenzi wawe na mav8 ya nini, gharama ya kuyanunua na kuyatunza hawaoni ni kubwa saana jamani
Kuna sababu gani ya wilaya za mkoa wa dar kua na midude mikubwa hata pembezoni mwa nchi kama wilaya za songea mjini mwanza Moshi dodoma Arusha mjini, wanafanya nayo kazi gani
Kwani wakitumia ist hizi used from japan km wanavotumia wananchi kazi hazitafanyika, Kama ni Sheria tubadilishe Sheria zetu tusijiumize Bure au hamjali
pesa itakoyookolewa hapo iende kwenye miradi mingine, inawezekan tukapunguza utegemezi wa burgeti kuu ya serikali na madeni tukianza kujibana wenyewe
kinachoshangaza unaweza Kuta gari la garama limeegeshwa na limekufa kitu kidogo tu litakaa miaka na miaka likiendelea kuchakaa siku wakiamua kuliuza utalia Bei ya mauzo yake ukifananisha na Bei ya manunuzi
Nendeni ofisini kwa wakuu wa wilaya na wakurungezi na ofisi za wakuu wa mikoa mkaone magari ya serikali yaliyoegeshwa na uliza yameegeshwa kwa changamoto gani,utalia
Hakuna ofisi ya mkuu wa mkoa nchi hii au wilaya au halmashauri ambayo Haina magari yaliyotelekezwa yakiozeana bila sababu nani anajali
Tuchukulie kila mkoa uwe na gari zilizotelekezwa Kama kumi ivi tuone mara mikoa yote ya Tanzania bara,hapo bado hujataja taasisi na mashirika ya Umma.
kinachoumiza zaidi unakuta huko vijijini watoto wanakaa chini shule Haina madawati majengo chakavu na matundu ya vyoo hakuna are we serious,
Yaan umekaa kwenye gari la thamani kubwa na magari engine ya thamani yanaoza ofisini kwako.
Yaani nikiona zile gari zinazooza kwenye ofisi za Umma moyo unaniuma Sana yametelekezwa Kama Mali za marehemu zenye mgogoro wa mirathi zinasubiri uamuzi wa mahakama.